Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Kha!khaKKama madirisha ya pantoni ya MV. Magogoni
Kha!khaKKama madirisha ya pantoni ya MV. Magogoni
Kuna kipindi mtu anataka anunue mantonga,mikusu au embe sindano na mayai ya kuchemshwa unakwama kabisa.Hii siyo haki!Na ndiyo inasababisha nisipande zile ndege za Magufuli nyembamba kama mkojo wa asubuhi.
KKama madirisha ya pantoni ya MV. Magogoni
Ile Airbus yenye choo cha shimo nje?Nilinunua tikiti langu nikiwa Airbus, sitasahau aiseeView attachment 1490236
Ushazoea kupungia watuYale madirisha ya kipuuzi sana, dirisha utadhani tundu la choo
Hahahaha kwenye passoUshazoea kupungia watu
Mademu..Sasa dirisha likiwa kubwa unataka kumuona nani huko mawinguni maana huwezi hata kumpungia mtu juu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hakuna atakaye kuona kama umepanda ndege.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wale wenye neema za Allah?Mademu..
Huko angani si ndio kuna wale mademu tunaosimuliwa na Sheikh Hilary Kipozeo.........
Afadhali umeeleza hii.Madirisha ya ndege ni madogo sana, kwa nini wasanifu wa ndege wasisanifu ndege zenye madirisha makubwa?
![]()
Usanifu wa muundo wa ndege ni muhimu sana, na unahitaji kuhakikisha ndege inakuwa nyepesi na imara.
Kutoboa sehemu yoyote kwenye ukuta wa ndege kutapunguza uimara wake, na inawabidi wasanifu waweke vipuri vya ziada ili kuhakikisha ndege inaendelea kuwa imara.
Hivyo kuweka madirisha mengi makubwa si jambo zuri kwa muundo wa ndege.
Madirisha ya ndege huwa na vioo viwili vya acrylic, ili kuzuia baridi isiingie ndani na pia kupunguza kelele za injini.
Ukiangalia kwa makini madirisha hayo, utaona tundu dogo kwenye kioo cha ndani. Tundu hilo linafanya kazi gani?
Kama tunavyojua, katika anga ya juu shinikizo la hewa ni dogo sana, lakini abiria wanahitaji kukaa katika mazingira yenye shinikizo la kawaida la hewa. Kioo cha nje kinahakikisha shinikizo la hewa ndani ya ndege, na kutokana na tundu hilo dogo, kioo cha ndani hakikabiliana na shinikizo la hewa.
Ajali ikitokea, kioo cha nje kitavunjika, kioo cha ndani kitahakikisha usalama wa abiria.
Licha ya hayo, tundu hilo pia linasaidia kuondoa mvuke kati ya vioo hivyo viwili ili kuzuia mvuke usigande kwenye kioo cha nje.
Haohao aisee, ndio nataka wawe kina sweetheart wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wale wenye neema za Allah?
Humo utakuwa unapandisha mifugo yako unaenda kuwachungaAfadhali umeeleza hii.
Nilikuwa napata tabu Sana nikifikiria ninunue ndege gani, kumbe jamaa Alitaka kuniuzia ya madirisha ya pembe nne akijua atanikamata kisa mi msukuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa dirisha likiwa kubwa unataka kumuona nani huko mawinguni maana huwezi hata kumpungia mtu juu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hakuna atakaye kuona kama umepanda ndege.
Basi ukiwaona wa snap ututumie na sisi tuliopo huku mwisho wa dunia.Haohao aisee, ndio nataka wawe kina sweetheart wangu
Cc Mshanajr brotherSasa dirisha likiwa kubwa unataka kumuona nani huko mawinguni maana huwezi hata kumpungia mtu juu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hakuna atakaye kuona kama umepanda ndege.
Ntakutumia fastaaaaBasi ukiwaona wa snap ututumie na sisi tuliopo huku mwisho wa dunia.
Yale madirisha ya kipuuzi sana, dirisha utadhani tundu la choo
Ukitaka yawe kama ya bungalow.Yale madirisha ya kipuuzi sana, dirisha utadhani tundu la choo