Usiyoyajua kuhusu madirisha ya ndege

Usiyoyajua kuhusu madirisha ya ndege

Sasa dirisha likiwa kubwa unataka kumuona nani huko mawinguni maana huwezi hata kumpungia mtu juu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hakuna atakaye kuona kama umepanda ndege.
Ukiwa angani kuna view nzuri sana, milima, mawingu, bahari, makazi hasa usiku taa zikwaka.
Hii ni wakati wa anga angavu lakini.
Kuna siku ni za giza la mwaingu unaishia kuona wingu tu
 
IMG_20200628_165052.jpg
 
Wangebolesha tu ndege ikianguka isilipuke basiii...
 
Kwann kwenye ndege za abiria hamna option ya rubani kufyatua kiti kujiokoa au kufunua mfuniko wa chini kuokoa abiria endapo mambo yakienda kombo angani?

Maana kwenye ndege za kivita wanajiokoa Sana, kwann isiwe ivyo kwny za abiria?
Mi nadhani wakimuwekea hiyo option rubani,kuna uwezekano akawahi kuiject mapema huku akiwaacha abiria bila ya msaada wowote,kinachotakiwa ni rubani kuwahangaikia abiria mpaka hatua ya mwisho kabisa ndio yeye ajiokoe...
 
Kwanini moja ya ndege zilizoruka katika video hii



taa za ndani zikiwa zinawaka wakati inaruka kinyume na taratibu - tunaambiwa taa za ndani ya ndege lazima zizimwe wakati wa kupaa na kutua lakini haijawa hivyo kwa China Airways katika video hiyo
 
Maskini JF sasa ni kama kijiwe cha wanywa kahawa !
 
Unaelezeaje inshu ya yule abiria aliyefyonzwa nje ya ndege baada ya kioo (vioo) kupasuka ?
 
Back
Top Bottom