Usiyoyafahamu kuhusu utoko (normal vaginal discharge)

Mkuu najua mada ya zamani muda kidogo umepita mi nilikuwa nauliza ukikutana na mwanamke baada ya tendo mmekaa kidogo baadae unaona kama umegandwa gandwa na makitu kwenye uume au juu ya uume maeneo round hayo yaani sehemu zozote ambazo ametoa hayo maji yakakugusa kipindi cha tendo ute wenyewe sjui maji yenyewe ni kama mfano ukimwagikiwa uji kwenye ngozi halafu yagande

Hivi ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmh unachekesha kitu kimoja wewe mwenyewe umeshasema ukishatoka ndio ujakua uchafu then unasema so uchafu ni ulinzi! sasa ukishafika kwenye Hume wa mwanaume si ushatoka nje au!! aaahaaaaaa aaa ndio maana Waume zenu wanawatangaza kwa vimada wao wanaokutana nao wasafi lol
alafu hiyo ishi sijui ya ndimu labda wewe ndio unaweka huko binafsi najisafisha na maji masafi tu na nakia msafi kabisa hata nikiingiliwa mwanaume anatoka msafi na mnato wa kutosha na joto la hatari
haya nikuekeze kuhusu udi wewe mshamba udi ni manukato tu kama perfume tena utapata udi wa pesa nyingi yaani mwanaume akikusogelea tu hivi mwili wote wanukia vizuri hatari hata kabla kukugusa anapata haru yako Nouri kuanzi kwenye kidole mpaka nywele akikupa kiss ya shingo ..
wewe pambana na utoko wake ni choice yako sijakukataza ... na umri wangu huu wa miaka 38 sijawahi pata ugonjwa wowote wa huko ukeni si fungus sijui upupu gani nausikia kwenye matangazo hata uchi unanukaje sijui ndio nakusikia wewe uchi sijui unanuka pyii mmh ..
maji safi yanasafisha uchi wangu na kuna msafi kabisaaa na nashinda msafi hata nikiguswa ghfla sihitaji kukimbilia chooni kama nyie msie jisafisha mkajitizame utoko kwenye chupi
Wacha leo niseme juu ya hii kitu

1. Kwanza ni nini? Jina lake ni utoko kwa Kiswahili sanifu kabisa, tofauti na wengi hasa waislam (samahani lakini ni kuelimishana tu maana wengine mtapanic hapa tu) mlivyoaminishwa kuwa ni uchafu si uchafu, unapotoka nje kwenye chupi hapo ni uchafu lakini ukiwa uko ndani kwenye ajili yake si uchafu.

Nitatoa mfano ndani ya tumbo lako kuna utumbo wenye kupitisha masalia the minute yanatoka kwenye haja hapo tunasafisha ni uchafu, mbona hujikamui utumbo ukasema unatembea na uchafu.

Pili Masikio mdomo pua hutoa uchafu lakini mbona hujikamui ni unasubiri mpaka utoke kwa kuuhisi au kuona?

Kwa nini mnang’ang’ania kuvuruga asili ya uke, mnajua madhara yake?

2. Ukiingiza uume ukatoka na hivyo vitu vyeupe jua mke/ mpenzi wako ana muda kiasi hajafanya hilo tendo.

Mimi ni mwanamke najua ninachozungumza. Uke ukitumika leo na kesho na kuendelea hukuti hiyo kitu.

Kwa maana nyingine mnawasaidia wenza wenu (wale wasio waaminifu) kuiondoa hii alama kizembe sana poleni[emoji3][emoji3][emoji3]wanawake nisamehe nimetoka siri ya kambi leo.

3. Utoko asili hauna madhara kwa mwanamme na hauna harufu mbaya ya kukera, ukikutana na harufu mbaya mpeleke mwenzio apate matibabu ni mgonjwa, nukta.

4. Utoko ni afya ya uke ni maumbile alivyotuumba Mungu, na kila alichoumba Mungu ni chema na kupendeza acheni mbwembwe za kusokomeza sijui magadi, ndimu, vidole, vistick, kuchomelea udi n.k.

Uke na uheshimiwe uwe asili. Uke ni zawadi asili tuliyopewa wanawake[emoji847][emoji847]. Uke wake uume vingine ni matumizi mabaya ya uke asili wa mwanamke!!

5. Utoko si uchafu ukiwa ndani ya uke. Nasisitiza mpaka utoke hapo nje mahali tu naona na kushika na kunusa hapo ndio uchafu.
NIMEMALIZA!

MCHANGO WA MDAU:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kuongopea watu we dada aahaaaaa Khan utoko hata siku mbili ukikaa tu unao dada aaahaaaa eti kakaa sana!wenye ndoa naowanakaa sana aaahaaaa sbb zako hazina mashiko lol
Yeah binti hajaguswa kwa muda wa kutosha kutengeneza hiyo kitu, haiundwi kwa siku moja hiyo ngome.[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kuongopea watu we dada aahaaaaa Khan utoko hata siku mbili ukikaa tu unao dada aaahaaaa eti kakaa sana!wenye ndoa naowanakaa sana aaahaaaa sbb zako hazina mashiko lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unamkosoa hvyo au ww ndo muhanga mwenyewe.....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmh unachekesha kitu kimoja wewe mwenyewe umeshasema ukishatoka ndio ujakua uchafu then unasema so uchafu ni ulinzi! sasa ukishafika kwenye Hume wa mwanaume si ushatoka nje au!! aaahaaaaaa aaa ndio maana Waume zenu wanawatangaza kwa vimada wao wanaokutana nao wasafi lol
alafu hiyo ishi sijui ya ndimu labda wewe ndio unaweka huko binafsi najisafisha na maji masafi tu na nakia msafi kabisa hata nikiingiliwa mwanaume anatoka msafi na mnato wa kutosha na joto la hatari
haya nikuekeze kuhusu udi wewe mshamba udi ni manukato tu kama perfume tena utapata udi wa pesa nyingi yaani mwanaume akikusogelea tu hivi mwili wote wanukia vizuri hatari hata kabla kukugusa anapata haru yako Nouri kuanzi kwenye kidole mpaka nywele akikupa kiss ya shingo ..
wewe pambana na utoko wake ni choice yako sijakukataza ... na umri wangu huu wa miaka 38 sijawahi pata ugonjwa wowote wa huko ukeni si fungus sijui upupu gani nausikia kwenye matangazo hata uchi unanukaje sijui ndio nakusikia wewe uchi sijui unanuka pyii mmh ..
maji safi yanasafisha uchi wangu na kuna msafi kabisaaa na nashinda msafi hata nikiguswa ghfla sihitaji kukimbilia chooni kama nyie msie jisafisha mkajitizame utoko kwenye chupi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapakua na sababu ya kuelezea uchi wako ...kila mtu akisema aelezee uchi wake hii mada haitaisha ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hasira dada, Kwani nilikuambia lini unanuka, yaani mimi na wewe tulikutana lini na wapi,Mbona we mkubwa sasa miaka 38 Jifunze kujenga hoja bila kuweka issue zako binafsi

Sikubaliani nawewe,et umetoboa siri

Kwahyo wale porn stars tunaoonaga wanatoka hayo madude meupe nao ni kwamba hawajafanya mda mrefu

Tafadhal bint naomba ufute hyo kauli
 
Dada kwani ugomvi?
watu si wana elimishana apa we mbona ume jaza vichambo apa
mmh unachekesha kitu kimoja wewe mwenyewe umeshasema ukishatoka ndio ujakua uchafu then unasema so uchafu ni ulinzi! sasa ukishafika kwenye Hume wa mwanaume si ushatoka nje au!! aaahaaaaaa aaa ndio maana Waume zenu wanawatangaza kwa vimada wao wanaokutana nao wasafi lol
alafu hiyo ishi sijui ya ndimu labda wewe ndio unaweka huko binafsi najisafisha na maji masafi tu na nakia msafi kabisa hata nikiingiliwa mwanaume anatoka msafi na mnato wa kutosha na joto la hatari
haya nikuekeze kuhusu udi wewe mshamba udi ni manukato tu kama perfume tena utapata udi wa pesa nyingi yaani mwanaume akikusogelea tu hivi mwili wote wanukia vizuri hatari hata kabla kukugusa anapata haru yako Nouri kuanzi kwenye kidole mpaka nywele akikupa kiss ya shingo ..
wewe pambana na utoko wake ni choice yako sijakukataza ... na umri wangu huu wa miaka 38 sijawahi pata ugonjwa wowote wa huko ukeni si fungus sijui upupu gani nausikia kwenye matangazo hata uchi unanukaje sijui ndio nakusikia wewe uchi sijui unanuka pyii mmh ..
maji safi yanasafisha uchi wangu na kuna msafi kabisaaa na nashinda msafi hata nikiguswa ghfla sihitaji kukimbilia chooni kama nyie msie jisafisha mkajitizame utoko kwenye chupi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema uke wako hujawai kusikia haruf si kwel dada...mdomo tuu usipopiga mswak unatoa haruf sembuse hyo kitu yako

Tafadhal futa kauli
Mbona hasira dada, Kwani nilikuambia lini unanuka, yaani mimi na wewe tulikutana lini na wapi,Mbona we mkubwa sasa miaka 38 Jifunze kujenga hoja bila kuweka issue zako binafsi
 
hasira ni ipi dada aaahaaaaaa mimi nimejibu hoja zako tu hata mwenyewe huna majibu nazo aaahaaaaa ....jifunze tu kujisafisha that's all I can say to you sawa aaahaaaa

Back
Top Bottom