mmh unachekesha kitu kimoja wewe mwenyewe umeshasema ukishatoka ndio ujakua uchafu then unasema so uchafu ni ulinzi! sasa ukishafika kwenye Hume wa mwanaume si ushatoka nje au!! aaahaaaaaa aaa ndio maana Waume zenu wanawatangaza kwa vimada wao wanaokutana nao wasafi lol
alafu hiyo ishi sijui ya ndimu labda wewe ndio unaweka huko binafsi najisafisha na maji masafi tu na nakia msafi kabisa hata nikiingiliwa mwanaume anatoka msafi na mnato wa kutosha na joto la hatari
haya nikuekeze kuhusu udi wewe mshamba udi ni manukato tu kama perfume tena utapata udi wa pesa nyingi yaani mwanaume akikusogelea tu hivi mwili wote wanukia vizuri hatari hata kabla kukugusa anapata haru yako Nouri kuanzi kwenye kidole mpaka nywele akikupa kiss ya shingo ..
wewe pambana na utoko wake ni choice yako sijakukataza ... na umri wangu huu wa miaka 38 sijawahi pata ugonjwa wowote wa huko ukeni si fungus sijui upupu gani nausikia kwenye matangazo hata uchi unanukaje sijui ndio nakusikia wewe uchi sijui unanuka pyii mmh ..
maji safi yanasafisha uchi wangu na kuna msafi kabisaaa na nashinda msafi hata nikiguswa ghfla sihitaji kukimbilia chooni kama nyie msie jisafisha mkajitizame utoko kwenye chupi
Sent using
Jamii Forums mobile app