Usiyoyafahamu kuhusu Malawi

Halafu vitu vyao bei nafuu Sana tofauti na huku kwetu..
Mm tangu mdogo mpaka utu uzima nmetumia bidhaa za marawi
 



Wewe ulifuata huko wanawake na pombe??😁😁
 
Mie naona afadhali Malawi... Wazimbabwe na Zambia ni wabovu saana.
 
kuna uhusiano Gani Kati ya Malawi na uingereza
 
Nilishawahi kuwa huko kikazi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Nilikuwa Blantyre...nikiishi sehemu inaitwa Namiwawa.
Wamalawi ni wakarimu sana. Nilipendelea sana Samaki aina ya chewa na vyakula vyao kwa ujumla.
Ukikutana na mwanamke wa kiMalawi mzuri anakuwa mzuri kweli kweli. Huwa naenda kutembea kila wakati ninapopata nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…