Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

Mkuu....
Tuliwahi kumiliki ndege kubwa na za kisasa kuliko hiyo Dash 7/8.
Hapa lakujiuliza ni, je zipo wapi zile ndege kubwa tena nzuri na zakisasa?
Hata Mimi ndo naishangaa ila si haba na panga boi letu tena rais ataenda kuizindua. Hivi walioziuza za mwanzo walichukuliwa hatua gani??
 
Mleta Mada yote uliyo yaleta mi nayajua

Sa sijajua nin mana ya kusema Usiyoyafaham..!!

ok pouwa buana waiter zungusha tena
 
View attachment 404965 View attachment 404966

Ndio Diva Beyonce hizi ni latest version!!Maana hizi Dash8 kuna Q100/200/300/400
Sasa Q400 ndio latest model....Unajua kimsingi ndege zote zina pangaboi,isipokuwa hizi za ATCL zipo kwa nje,wakati zile za ndege kama hii picha ya Emirates pangaboi zake zimefunikwa tu kwa ndani na ndio maana ya jet.

Sabb moja ya kitu kinachotofautisha ndege moja na aina nyingine ni vitu kadhaa.Kwanza ni Fuselage(body),Wings,Engines,Landing Gears etc.

Kwa hiyo ndio maana kuna ndege za Jet Injini na Prop Injini.Aina ya injini haimaanishi kuwa ndege hii ni kizamani.Sasa ndege imetengenezwa Feb 2015 itakuwaje ya 20th?
Unaona zote zina mapanga,sema hii yapo nje na nyingine yapo ndani...Tuna uashabiki fulani hivi hata ukimuelezea mtu anaona kama unalipwa na Jumba jeupe,kumbe mambo mengine hayahitaji siasa Madam
Asante kwa maelezo mazuri nilikua sifahamu nilivosikia mapanga boi na kupitia comments tofauti nikajua ni ndege za karne zilizopita.
 
kila nikifika kwenye hii topic moyo unaniuma sana. tafadhali naomba tuishie hapahapa hii discussion.
 
Wa sasa hivi kama kateguliwa miguu au ana matege ya Selgado.
Alibadirishwa kipindi cha Mataka,na uliza aliyebuni huyo twiga mpya alikula shilingi ngapi?Utazimia
Hahaaaaaaa aiseee hivi atabunije twiga wakati anajulikana au ndo ujanja ujanja tu
 
Hivi tujiulize ni waTZ wangapi wanaelewa maana ya hizi ndege kuwapo angani? Mimi ni mtumiaji wa ndege ndiyo lakini naona haisaidii kitu kuliko kama tungeonglelea dawa za kinga zilizokeosekana kwenye clinics zetu na tunaona madege yanakuja tu. Mimi sawa nitalipa thousand of dollars kwenda nitakako je. binamu yangu atapataje kinga ya polio, suria na nyingine kama serikali nalipa marubani wa ndege hizo kwanza?
 
Hahaaaaaaa aiseee hivi atabunije twiga wakati anajulikana au ndo ujanja ujanja tu
Watu watakula wapi Madam?Unashangaa hilo la twiga?
Watu walikuwa wanashonesha sare za Airhostess Singapore na Malaysia.Na mtu wa kuzisubilia anakaa huko miezi3 mpaka zimalize kushoneshwa!Ni mwendo wa ma-perdiem na nights za kujiachia
 
Hivi tujiulize ni waTZ wangapi wanaelewa maana ya hizi ndege kuwapo angani? Mimi ni mtumiaji wa ndege ndiyo lakini naona haisaidii kitu kuliko kama tungeonglelea dawa za kinga zilizokeosekana kwenye clinics zetu na tunaona madege yanakuja tu. Mimi sawa nitalipa thousand of dollars kwenda nitakako je. binamu yangu atapataje kinga ya polio, suria na nyingine kama serikali nalipa marubani wa ndege hizo kwanza?
Kila kitu kina umuhimu wake katika kujadili mustakabali wa nchi........Kwa kujifunza ya Fly Emirates tunaona wapo tulipokosea na nini tufanye...
 
Halafu najiuliza hizi ndege zitarudisha kweli hizo pesa walizotumia kuzinunua? Maana ni mabilioni ambayo yangeweza kutatua tatizo la maji kabisa dsm. Sasa wamepaki wanasubiri nini? Gharama za uendeshaji zitakuwaje? Hivi Nyerere aliwezaje kufanya mambo makubwa kiasi kile halafu wasomi wanashindwa?! Yaani maviwanda, mashirika kama hayo ya ndege aliweza kuanzisha wakati huo tulikuwa tunachimba almasi tu. Sasa hivi tunachimba kila aina ya madini, tuna gesi, mbuga za wanyama nk lakini bado ni shida. Sasa tumefika wakati ndio tunaibiwa mpaka wanyama kabisa huku tukiwa macho kabisa na vifaa vya kisasa kuwaona wezi. Katika enzi hii ya viongozi wasomi wa ngazi ya Phd, maprofesa ndio tunashindwa kesi kila siku na kutakiwa kulipa fidia ya mabilioni. Ndio enzi ambazo watu wanagawana migao ya mabilioni ya pesa za umma EPA, Escrow kama njugu. Mtu ana lala anaamka anakuta amewekewa bilioni 1.6 halafu anatoa milioni 10 za mboga. Ndio nyakati tunazoweka ma milioni kama cha juu kwenye ununuzi wa rada nk nk nk. You can't believe. Yaani hata kama Nyerere alifanya makosa ili kuwa ni ya kibinaadamu na ilikuwa ni kwa maaendeleo ya watu wote sio kujinufaisha yeye mwenyewe.
Wasomi wengi ndio wajinga yaani inasikitisha tunaanza upya na tunaonekana kama underdog kabisa kwenye tasnia ya anga
 
Lakini tuliwahi kuwa na vitu kama hivi mkuu
tunaanza upya! We have a long way to go! Jiulize viko wapi sasa. Hivi vilikuwepo hata kabla hatujaanza kuchimba madini mengi na kuwa na gesi kama sasa. Jiulize Nyerere alimudu vipi tena tukiwa katika siasa hasa ya ujamaa na kujitegemea. Waliompokea sasa ndio wakaingia mnadani kuuza viwanda na mashirika ya umma kwa bei ya kutupa. Leo nchi zote zilizokuja kupata uhuru baada ya sisi zimetupita kwa mbali sana!
14449980_528878907321358_2330775271543497926_n.jpg
14369981_528878977321351_8558839635295389530_n.jpg
14344347_528878827321366_3336086024889582191_n.jpg
14355612_528879077321341_2990740269030714411_n.jpg



14344347_528878827321366_3336086024889582191_n.jpg
Those days...
 
Back
Top Bottom