Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

uwezo wa kuwa nacho kikubwa zaidi tunacho sema tu usanii mwingi sana.
Nchi yetu inatatizo la kiuongozi sana ndo mana vtu haviendi kwa nchi yetu iliyo na kila kitu kuwa na ndege hii ndogo ni aibu, ila si haba kuliko wale waliuza zile ndege zenye hadhi za wakati wa Nyerrere. Kila kitu hakiendi na ni aibu Nyerere sijui aliwazaga vipi kujenga viwanda katibia kila corner hafu wengine wakaviua.
 
Hiyo bombadia yetu' yaan siti zake kama za bus ya mkoani. Ni aibu kujinadi tuna ndege
 
mwenyewe angukuwa anasoma hiz comments haki ya nan angeenda kupiga mnada ndege zake akanunue vichwa vya train tu, watanzania burudani sana
Anapitiaga humu marachache
 
Jamani bora hata kapangaboi kuliko tulivokuwa hatuna kabisa
Mkuu....
Tuliwahi kumiliki ndege kubwa na za kisasa kuliko hiyo Dash 7/8.
Hapa lakujiuliza ni, je zipo wapi zile ndege kubwa tena nzuri na zakisasa?
 
image.jpeg
image.jpeg

Hivi barafu hizi pangaboi ni za karne hii au ya 20 maana mi huona sana zisizo na mapanga
Ndio Diva Beyonce hizi ni latest version!!Maana hizi Dash8 kuna Q100/200/300/400
Sasa Q400 ndio latest model....Unajua kimsingi ndege zote zina pangaboi,isipokuwa hizi za ATCL zipo kwa nje,wakati zile za ndege kama hii picha ya Emirates pangaboi zake zimefunikwa tu kwa ndani na ndio maana ya jet.

Sabb moja ya kitu kinachotofautisha ndege moja na aina nyingine ni vitu kadhaa.Kwanza ni Fuselage(body),Wings,Engines,Landing Gears etc.

Kwa hiyo ndio maana kuna ndege za Jet Injini na Prop Injini.Aina ya injini haimaanishi kuwa ndege hii ni kizamani.Sasa ndege imetengenezwa Feb 2015 itakuwaje ya 20th?
Unaona zote zina mapanga,sema hii yapo nje na nyingine yapo ndani...Tuna uashabiki fulani hivi hata ukimuelezea mtu anaona kama unalipwa na Jumba jeupe,kumbe mambo mengine hayahitaji siasa Madam
 
Yote tisa, kumi twiga wetu wa zamani alikuwa na mvuto jamani.
Wa sasa hivi kama kateguliwa miguu au ana matege ya Selgado.
Alibadirishwa kipindi cha Mataka,na uliza aliyebuni huyo twiga mpya alikula shilingi ngapi?Utazimia
 
Shirika la ndege la Emirates linasifika kuwa na ndege za gharama na kifahari sana duniani ambapo wanasema kuwa wana ndege za abiria 235 na ndege 15 kwa ajili ya kuchukua mizigo na bado wanaendelea kuagiza ndege zingine kutokana na uhitaji uliopo.

Kulingana na takwimu za mwaka 2014 wameweza kufungua matawi mengine duniani ikiwemo ya ndege za mizigo na jumla ya destinations wanazotembelea ni 155 katika nchi 81.

Licha ndege hizo kuwa na uwezo wa kusafirisha watu wengi kwa wakati mmoja yako mazuri mengine kwa upande wa Entertainment ambapo unaposafiri na ndege za Emirates unaweza kuangalia zaidi ya channel 2200, zaidi ya movies 500 kutoka duniani kote, kuna zaidi ya channel za muziki zaidi ya 1000, kuna video games zaidi ya 100 na pia unaweza ukatumia USB yako kuangalia movies au kusoma documents zako.

Akizungumza na Ayo TV na millardayo.com, Mhudumu wa Ndege za Emirates, Theresia Sudi amesema…….

>>>’Emirates in offer value for money services ambayo unaona faida ya kutumia pesa zako unaponunua tiketi yako kuanzia unapotoka nyumbani mpaka unapofika sehemu unayokwenda, tuna uwezo wa kukuunganisha kwa haraka, hauna haja ya kusubiri sana airport kwa mfano unatoka Tanzania unafika pale Dubai kwa sababu tuna ndege nyingi tuna uwezo wa kukuunganisha kwa haraka zaidi’ FLY EMIRATES HELLO TOMORROW
View attachment 404856 View attachment 404857 View attachment 404858 View attachment 404859
KUna jirani zetu nchumbiji nao wako vyema.
transportes_linhas_aereas_de_mocambique_lam03-660x330.jpg
 
Back
Top Bottom