Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,705
kamwulize katibu wa chama kama hata mashine ya kuchapisha magazeti ilinunuliwa mpya Bulgaria ilivyokuja ikawekwa stoo walivyosahau kidogo ikauzwa na asiyejulukana na kwa bei isiyojulikana na kwa sasa tunapeleka flash pale MCL kwa wafanyabiashara wa Kenya kuprint hapo ujue hata izo boing za Nyerere walizifanya ivyo ivyo
Wewe mweeeeh acha uchochezi watakumaliza wenyewe wakipita hapa.
Yaani unamaanisha hata gazeti la chama pendwa linapigwa chapa pale Tabata Relini ama kweli makubwa.