Watu tumezika hela kwenye kujenga for almost 1yr, tunaishi kwetu na sasa tunakomaa na biashara, kupanga ni kuchagua asee, kuna watu kazi yao ni kusema ooh kujenga ni ujinga, wakati hana kwake na wala hana biashara....
watu tumezika ela kwenye kujenga for almost 1yr, tunaishi kwetu na sasa tunakomaa na biashara, kupanga ni kuchagua asee, kuna watu kazi yao ni kusema ooh kujenga ni ujinga, wakati hana kwake na wala hana biashara....
Stock exchange ziko kampuni ambazo Toka ianzishwe hisa zake zinapaa kama TBL,TCC.kuna security/ Treasury bond,jishughulishe kupata Elimu hizo,utakuja kunishukuru. Mwenyewe niliamini hivyo,nimeona hasara niliyopata.ndio Maana nafundisha watu hapa buree
Uko sahihi nilipoteza muda wangu kuweka hela benk na kuanza kujenga..nilifanya kosa kubwa mno kumbe ningepaswa nijiimarishe kibiashara ndo niweke hela benk na kujenga
Uko sahihi nilipoteza muda wangu kuweka hela benk na kuanza kujenga..nilifanya kosa kubwa mno kumbe ningepaswa nijiimarishe kibiashara ndo niweke hela benk na kujenga
Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pa
kubwa sana
Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokuwa naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaidi.
Matokeo yake wakati fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sababu mtaji hautoshi, sehemu ya faida haikurudi ktk biashara zaidi ya kwenda kwenye maujenzi ambayo hayaniingizii pesa ya maana tofauti na ambayo hizo pesa zingekuwa katika biashara.
Huisha fedha kwenye hayo majengo, weka collateral, chukua fedha uzungushie.
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Click to expand...
Hiyo 500M uliipata kwa kudunduliza au ulipata kwa mkupuo?
ThanksQuoteReply Repo
Kujenga ni addictive sana, unaweza jengea mtaji usipokuwa makini ila it worth it, biashara unazoziona leo 25yr later unaweza usizikute ila nyumba unazoziona leo 25yrs zitakuwepo vilevile
Uza majengo mengine.
Na ungekuwa umehonga hizo hela ungesemaje? Si ungekufa kabisa
Usilalamike sana Bali shukuru hata umejenga maana biashara zina mambo mengi pia unaweza kukimbiza sana na zikaja kuporomoka ghafla ukajikuta hata hujajenga ulikuwa unakuza tu biashara.
Mkuu kwa saa hizi nikiuza hayo majengo nitakua kama napata hasara tu maana Yako sehemu potential sana kwa baadae, baada ya miaka 10 pesa yake ni ndefu mno nikisema nipauze.
Kujenga ni addictive sana, unaweza jengea mtaji usipokuwa makini ila it worth it, biashara unazoziona leo 25yr later unaweza usizikute ila nyumba unazoziona leo 25yrs zitakuwepo vilevile
Ni kweli usemalo ila kama pesa hiyo nisingewekeza ktk majumba Leo hii ningekuwa na uwezo wa kujenga majengo ya thamani hiyo maana mzunguuko wa biashara ungekuwa mkubwa sana sababu ya mtaji ni mkubwa na faida ingekua maradufu.
Kuyauza ningumu kwa Sasa maana yapo sehemu nzuri sana..nkiuza kwa Sasa ntajuta maradufu zaid hapo baadae maana yapo eneo zuri baadae miaka10 naweza pata Hela mara Tano zaid ningeuza sasa
Nikweli usemalo ila kama pesa hiyo nisingewekeza ktk majumba Leo hii ningekua nauwezo wakujengo majengo ya thamani hiyo maana mzunguuko wa biashara ungekua mkubwa sana sababu ya mtaji ni mkubwa nafaida ingekua mar
Mkuu hujaelewa sio mkupuo unajenge sehemu ya ongezeko ktk mtaji wako Kila mwaka assume umeanza biashara January na mtaji wa 100m Hadi kufika desemba umefanya stocking umekuta mtaji imeongezeka mpaka kufukia m220 maana yake umekuza mtaji kwa m110 so hiyo 110 au nusu yake unaanza wekeza ktk majengo badala yakuiacha izunguushe ktk biashara au uanzishe biashara mpya
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Click to expand...
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Click to expand...
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Click to expand...
Bank za kibongo interest kubwa 80% chances ukikopa hiyo nyumba inaondoka, 20% interest rate siyo mchezo biashara ikiyumba tu watu kama walikuwa wanaitamani nyumba yako ndio inaondoka unabaki huna hela wala nyumba,
Nchi nyingi interest ni kati ya 7 to 10 %
Usilalamike sana Bali shukuru hata umejenga maana biashara zina mambo mengi pia unaweza kukimbiza sana na zikaja kuporomoka ghafla ukajikuta hata hujajenga ulikua unakuza tu biashara.
Mkuu Hadi nakua namawazo sio kwamba mtaji hakuna ila hautoshi imagine biashara nazofanya almost zinahitaji walautaji wa m800 ila mtaji unajikuta uko 150m
Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote.
Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa, akiba yako itaongezeka Kila mwezi, Kwa riba utakayokuwa unalipwa.
Usipate hasara, kusubiri mpaka ustaafu ndio ufungue Miradi, utafeli, Biashara Zina hatua za kujifunza na kufanikiwa, ambazo zinachukua miaka sio chini ya mitatu n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.