Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,382
- 3,146
ongeza nyama nyama
Kitimoto, konyagi na Mshana Jr ni ndugu.
Kitimoto, konyagi na Mshana Jr ni ndugu.
Kitimoto, Johnny walker na Pascal Mayalla ni ndugu.
Mshana Jr na CHADEMA ni ndugu.
Pascal Mayalla na CHAWA ni ndugu
Ila thed weld dwellers, hend to mouth na the 99% mnaenjoy. Hapo kilichokosekana tu ni mjani ngoma ingekuwa perfect.
Ila masoud😆😅
Hii ni swaga ya kike, KAZAIla masoud😆😅
Hapa mnaambulia kivuli tu mkuuongeza nyama nyama
Ndo umefikia huku
Dogo kobazHii ni swaga ya kike, KAZA
Ni hatari kwa afya yako ,hairuhusiwi kutumia ukiwa chini ya miaka 18 ,tumia kistaarabu.Unguzeni main tu
Tufe nayo mazima ya kazi gani?Unguzeni main tu
Dada hata kama we ni jobless
Kaza, mwanaume unasemaje " ila masoud" yan kama unatongozwa na masoud halaf unaokota okota majan na kung'ata kucha baada ya kuelewa swagaDogo kobaz