Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,971
- 168,931
It is an HYPOCRITE INSTITUTION 😀Kwakweli aisee, ndio maana hii taasisi muhimu inaonekana basi tu.
It is an HYPOCRITE INSTITUTION 😀Kwakweli aisee, ndio maana hii taasisi muhimu inaonekana basi tu.
Hahahaa!! Kwakweli.It is an HYPOCRITE INSTITUTION 😀
Hata kiduchu,Yaani wanaume haiwahusu hata robo jamani?
Na wewe ni mchepuko?Habari za weekend?
Leo nimeona nizungumze kidogo! Unakuta mke au mume wako ana mchepuko wanaendelea na mapenzi kwa muda tu.
Kuna katabia watu kujipa moyo ooohhh ' mi ndo mume/mke wa ndoa nna cheti mie'!!!!
Waweza baki na cheti ndani kisicho na faida kama graduate wa miaka hii 'first class ila maisha magumu hana ajira' huku mwenzio anakula raha na kuwekeza kwa mwingine miaka na miaka.
Kama zipo changamoto zinazomfanya mwenzio achepuke rekebisha kama ziko ndani ya uwezo wako. Vinginevyo atakula ujana huko,raha zote kwa mchepuko, atajenga huko,
Akizeeka, akipata matatizo hasa ya kufirisika magonjwa sugu anarudi kwako na usipomhudumia dunia itakunyooshea vidole kwa roho mbaya[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wahanga wengi wa hili ni wanawake,kuna ndoa nyingi zimevunjika kabisa kisa mchepuko anapendwa sanana anachukua nafasi yako. Sio kila uliyenaye kwenye ndoa anakupenda wengine walikuoa kimakosa alikuwa hajapata anachokipenda.
My take 'Never under rate mchepuko of your wife/husband'
Kwa michepuko wanaume hufata tu papuchi akitoka hapo roho yamuuma nimewahi kuwa mchepuko yani mchepuko ni kipoozeo tu asikudaganye mtuKama yapo ya kurekebisha tunajitahidi sana kurekebisha, lakini sio guarantee kwa paka shume, atakwenda tu kulamba masufuria kwa jirani.
Pia mchepuko usijione wa maana sana kutembea na mume wa mtu kwa kuadaiwa unapendwa sana eti alimuoa mkewe bahati mbaya tu. Hizo ni tilalila za kukukamata tu.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Mi nikuwa narudia kusoma nilidhani sijaelewa,Huu ushauri nadhani unawafaa wanawake wenzio, sidhani kama kuna mwanaume atajua mke wake anachepuka na akawa na ushahidi kisha akaendelea kuishi na huyo mwanamke.
Hata kidogo labda wavulana. Huwezi kuwa unajua mke wako ana mchepuko halafu ukatulia,Yaani wanaume haiwahusu hata robo jamani?
NeverNa wewe ni mchepuko?