D
Deleted member 485868
Guest
[emoji23][emoji23] ulipokula ujana wako ndipo utakapomalizia uzee wako..tusichoshane
mnasemaga tu hapa, tunachepuka tunakamatwa live bila chenga na bado tupo.....haya huwa mnadanganyana tu hapaHuu ushauri nadhani unawafaa wanawake wenzio, sidhani kama kuna mwanaume atajua mke wake anachepuka na akawa na ushahidi kisha akaendelea kuishi na huyo mwanamke.
Wanaume wa jf wanajiina wana misimamo ila wanaliaga kama watoto huko kwakuteswa na wanawakemnasemaga tu hapa, tunachepuka tunakamatwa live bila chenga na bado tupo.....haya huwa mnadanganyana tu hapa
Wanakuambia mi ndo mke au mume atarudi tu!!! Hajiulizi ni lini na kwa hali ganiKabisaa yaani!eti mi ndo halali kwake wafaidika na nini sasa?
Kula anakula mwingine weye waishia cheti cha ndoa tu
Yani hata shemeji yenu nae hapa jf anajitutumua wakati mi namjua tehWanaume wa jf wanajiina wana misimamo ila wanaliaga kama watoto huko kwakuteswa na wanawake
Kwakweli kuchepuka ni tabia na ni hobby piaKama kurekebisha watu wanajirekebisha sana tuu!! Kuchepuka ni tabia ya mtu, na sio kila anaechepuka kuna analokosa ndani.
Kwa akili za kawaida tutaanza kushindana kwa michepuko lakini kuna wakati inabidi tusali pia
KabisaaaKwakweli kuchepuka ni tabia na ni hobby pia
AmenKuchepuka ni tiba Kwa magonjwa ya Ndoa
Hapana.Hivi kuna wanaume wanaoifahamu michepuko ya wenza wao na wakachukulia poa?!
Kuomba haswaa maana mingine ni mitihani tu,unakuta mtu katulia kisawasawa mwenzake sasa washawasha si washawasha,kiswaswa si kiswaswa.Kama kurekebisha watu wanajirekebisha sana tuu!! Kuchepuka ni tabia ya mtu, na sio kila anaechepuka kuna analokosa ndani.
Kwa akili za kawaida tutaanza kushindana kwa michepuko lakini kuna wakati inabidi tusali pia
[emoji3]Hapana.
Sisi wanawake tu ndo tunajifanyaga tunajua kuvumilia.
Sasa jeUmeongea kweli tupu. Kuna moja aliwahi nambia yaani nipo na huyu mwanamke basi tu. Huku akionyesha mawazo.
wanajipaga moyo sana.
Ohoo kwako anapita tu, kwangu lazima jioni aripoti.
Shwain , Utabaki kuwa mfua nguo na mlea watoto tu.raha anakula kwa mchepuko.
Heshima yako mheshimiwa mwenyekitiYani hata shemeji yenu nae hapa jf anajitutumua wakati mi namjua teh
Wanaume muache faraja za uongo pambaff zenu, tunafumaniana tangu vita vya majimaji hadi leo tupo wote mkija huku ooh hakuna mwanaume anaeweza kuishi na mke mchepukaji shwain. Wake za waenzenu mnakula nyie wake zenu hamtaki waliwe HAIPO HIYO, ukimind narudia 😀😀😀