Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,622
- 112,698
Uwe mzinzi usiwe mzinzi ,kupigwa kuko pale paleHapa ingependeza kama ungeiweka hivi; "wanaume wazinzi kila angle mnapigwa......."
Uwe mzinzi usiwe mzinzi ,kupigwa kuko pale paleHapa ingependeza kama ungeiweka hivi; "wanaume wazinzi kila angle mnapigwa......."
Jikubali bana wee😅Video call za kazi gani sasa, ikukute bila make up.... hakuna kupokea, hakuna kutuma picha og lazma maflekechee yafanyike 😂😂😂 ubaya ubaya tu
Basi live sawaLive mpaka January
Kwanini awe kituko? Kwa sababu hakukuvutia machoni ndo ukampa jina hilo? You are better than thisKuna kituko kimoja nilishakutana nacho humu sema wanaume tumeumbiwa vifua
Thats a story sio mtu mbona munataka kunitoa roho😅! Ni kisa tuKwanini awe kituko? Kwa sababu hakukuvutia machoni ndo ukampa jina hilo? You are better than this
Mi najijua sura yangu haitishi mkuu. Unaongelea Mzigua ambae hajapiga mswaki wakati wapo wanaonijua nikiwa sijavaa wigMuonesha mzigua kabla hajapiga mswaki pale
Na nyie muache kutamani vya mtandaoni mfyuuuMuache utapeli wa mtandaoni TCRA is watching!
😅😅😅😅😅😅 we unajiamini sina shaka na wewe!Mi najijua sura yangu haitishi mkuu. Unaongelea Mzigua ambae hajapiga mswaki wakati wapo wanaonijua nikiwa sijavaa wig
Duuuh hatariii tupuThats a story sio mtu mbona munataka kunitoa roho! Ni kisa tu
Kwani shida iko wapi mkuu? Umeanza kuwa na makasiriko siku hizi kama vijana wengine wa humu. Embu acha hupendezei kuwa na makasiriko na wamamaAf wengi mnadanganya mmeolewa humu si muwe wazi tu kama naniliu!
Na hata kama sio kweli ni maamuzi yako kuamua unachotaka kushareJukwaani huwezi kujua maisha halisi ya mtu labla mhusika andike ukweli binafsi nimeolewa Mwenzi 7 mwaka huu hii ni kweli na sina sababu za kuficha
Aaah kazidi jamani. . Akipiga picha inapita sehemu kama nne hivi kueditiwa ndo anapost.Video call za kazi gani sasa, ikukute bila make up.... hakuna kupokea, hakuna kutuma picha og lazma maflekechee yafanyike ubaya ubaya tu
Ila kituko si neno zuri. Heshimu waliokupa nafasi ya kujuana na wewe maana hata huyo "kituko" alijua hatakuvutia lakini akakuchagua umuoneThats a story sio mtu mbona munataka kunitoa roho! Ni kisa tu
😅Dah mbona kama ume catch feelings lakini! Me natania tu wala sipo serious aisee hebu tulia mama!Kwani shida iko wapi mkuu? Umeanza kuwa na makasiriko siku hizi kama vijana wengine wa humu. Embu acha hupendezei kuwa na makasiriko na wamama
I like that, napenda watu wanaojiaminiJukwaani huwezi kujua maisha halisi ya mtu labla mhusika andike ukweli binafsi nimeolewa Mwenzi 7 mwaka huu hii ni kweli na sina sababu za kuficha🥰
Ili uniite kituko??? Tukutane snap 😁Jikubali bana wee😅
Sawa nimetulia babaDah mbona kama ume catch feelings lakini! Me natania tu wala sipo serious aisee hebu tulia mama!
Yani nipo chilled out sema nilitaka kumtease tu Nuzu
Muonesha mzigua kabla hajapiga mswaki pale😅
Jua ni msala😅 yani tena hii ya Dsm ni Pro MaxAfu kuna watu wanaamka fresh sana ujue?
Yan mtu unaamka poa 🤣 sasa subiri upigwe na jua