Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,270
40,080
Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao; utajuta!

Wengi wamezipiga nyuso zao 'plasta' pamoja na 'kuziskimu' kabla ya kuziweka kwenye mitandao.

kapich.jpg
 
Dah kweli, unakuta katupia pamba na makeup akifika mageto akienda kuoga akirudi unaweza kutoka nduki.

Kuna dada mmoja alikuja kavaa li t shirt plus size mkali kweli, dah alikuwa na tumbo kubwa kama kiroba.
Kuja Geto mbona mbali sana! Hapo utapoenda kumpokea kama kituo cha daladala basi utampita kusudi maana utachokuwa unakiona ni tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom