Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao

Nina rafiki yangu wa zamani hata video call hapokei kama hajapaka make up. Muda wowote ikiingia video call anapiga puti ndo anapokea. Yule nae alikua na sura nzuri na umbo la kichaga ila kwenye picha ana shape mi simkuti
Video call za kazi gani sasa, ikukute bila make up.... hakuna kupokea, hakuna kutuma picha og lazma maflekechee yafanyike 😂😂😂 ubaya ubaya tu
 
Back
Top Bottom