Kutafuta mchumba kwenye social media ni kutaka kutapeliwa

Quartz360

Senior Member
Mar 27, 2023
124
302
Nowadays kumekuwa na wimbi kubwa la watu (me+ke) kutafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii kama vile FB, IG, X, TG etc.

Mtu anaingia zake Photo Lab anafanya editing za kutosha, kuji-snap kwa kwenda mbele, then anatupia picha yake mtandaoni anaonekana mkali, then mwamba unaruka naye, unazani ni wife material kumbe wapi.

Mbaya zaidi Kuna wengine ni wanaume Wanajifanya kuweka picha za kike na captions za kuvutia ili raia waingie kwenye target. Kumbe wap, ni UTAPELI MTUPU.
 
hapana,sio kweli ila mradi uwe makini tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom