Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao

Kwani shida iko wapi mkuu? Umeanza kuwa na makasiriko siku hizi kama vijana wengine wa humu. Embu acha hupendezei kuwa na makasiriko na wamama
😅Dah mbona kama ume catch feelings lakini! Me natania tu wala sipo serious aisee hebu tulia mama!

Yani nipo chilled out sema nilitaka kumtease tu Nuzu🤩
 
Back
Top Bottom