Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Nimeipenda iyo ya socrates bt ndoa sio majuto mpango mzma ni kumpata mnaefaana piga goti mshirikishe sir Gody..
 
wewe mtoa mada nadhani una matatizo ya kiakili unatakiwa kupmwa akili yako kwanza yaelekea hujawahi pitia matatizo na uenda matatizo ya kisarufi pia nimekuchunguza naona uliishia darasa la umande wewe maana huo mwandiko utafikiri wa chekechea na kiswahili cha kandete upcountry yaani inabidi tumwambie Lady doctor akutibu maradhi ya kiakili halafu uje kwangu nikufanyie canselling kwani wahitaji msaada zaidi, huwezi sema kuwa mtu maskini hawezi kuolewa na tajri au tajiri hawezi kumuoa maskini ambaye wazazi wake ni maskini, wewe unaujua upendo wa agape kweli? au unafikiri kimtazamo tu? unajua kuwa ndoa iliwekwa na Mungu na ndiye msingi wake? unajua ndoa ni kati ya wawili wapendanao na walioambiana kuwa wataishi pamoja katika raha na shida? Iweje wewe ujifikirishe bila hata kuchambua? ndo mana nasema njoo tukushauri kwani umeathirika kisaikolojia

huyu mtoa mada atakuwa ni mliberali huyu.
 
Last edited by a moderator:
sijakuelewa unamanaanisha nini ndugu au umeamua kuniquote tu ili ulete majanga hapa?

imebidi nicheke kwanza kabla sijajibu
maana umekua mkali kwenye post ya pili as if nlikutukana
nikikuelewesha..nimeqoute what you said kwasababu ulikubali alichosema kuhusu kutokukubali the post na ndo maana niliandika back to the topic..
The whole point is,i supported what you supported,umeelewa?
 
wewe mtoa mada nadhani una matatizo ya kiakili unatakiwa kupmwa akili yako kwanza yaelekea hujawahi pitia matatizo na uenda matatizo ya kisarufi pia nimekuchunguza naona uliishia darasa la umande wewe maana huo mwandiko utafikiri wa chekechea na kiswahili cha kandete upcountry yaani inabidi tumwambie Lady doctor akutibu maradhi ya kiakili halafu uje kwangu nikufanyie canselling kwani wahitaji msaada zaidi, huwezi sema kuwa mtu maskini hawezi kuolewa na tajri au tajiri hawezi kumuoa maskini ambaye wazazi wake ni maskini, wewe unaujua upendo wa agape kweli? au unafikiri kimtazamo tu? unajua kuwa ndoa iliwekwa na Mungu na ndiye msingi wake? unajua ndoa ni kati ya wawili wapendanao na walioambiana kuwa wataishi pamoja katika raha na shida? Iweje wewe ujifikirishe bila hata kuchambua? ndo mana nasema njoo tukushauri kwani umeathirika kisaikolojia

yaani huyo akija kwangu kwa hasira namtupa wodi ya vichaa na ninahakikisha haponi..... Tafiti nyingine zinatia hasira ujue!!
 
Last edited by a moderator:
angalia, tazama, ona, chungulia na kuwa makini kwa yule unayetaka kumletea majanga humu cc usikurupuke hovyo kufanya kitu ambacho wengine hawaelewi mtazamo wako take care
Sijakurupuka my dia,
kama hukunielewa ilikua just a matter ya kuniuliza mambo ya MAJANGA,KUCHUNGULIA ETC too vague
 
Usioe binti aliyekulia familia ya single mother.
Usioe binti aliyekulia familia ya single mother na hana mahusiano mazuri na baba yake....huyu ni toxic!

Mwingine huyu! Who told u ujinga huu?
Haya mambo ni mipango ya Mungu,ndio maana wa2 tofauti maskini kwa matajiri wanaona na wanaishi vzr 2,love abides us
 
mhm! kwa hiyo unasemaje?
imebidi nicheke kwanza kabla sijajibu
maana umekua mkali kwenye post ya pili as if nlikutukana
nikikuelewesha..nimeqoute what you said kwasababu ulikubali alichosema kuhusu kutokukubali the post na ndo maana niliandika back to the topic..
The whole point is,i supported what you supported,umeelewa?
 
You wish hata kama mie sio mamako walau ningekuwa mkeo ama mkweo. Too late, i am taken for good ooh.
Mie mapinduzinyalipinduliwa kuanzia kwa babangu sasa, utashaaa hapo. Ni roho ya kimaskini sana kuhisi unaibiwa aisee. Utakuwa unahesabu finyango afu ugeuke kenge maji. Shauri yako!
Una maneno King'asti
 
Mvivu wa maombi ndo atakuwa na mawazo kama yako... ni lazma usugue goti ili Mungu akupe wa kufanana na wewe wapo walopitia hayo na yamewafundisha na hawataki yawapate kwenye maisha yao... pia uwezo wako wa kufikiri nadhani ni mdogo
 
Nimekuelimisha ili ubadilike na uachane na tabia hiyo ambayo haipendezi katika jamii, unaposaidiwa elimika usiwe mbishi.
Una capacity gani ya kunielimisha? nibadilike niwe nani? hiyo tabia ni ipi na je unaeza kuithibisha? unao uhakika kua umenisaidia au nahitaji 'msaada' wako? ubishi hapa ni upi?
 
Kweli mkuu maana sifa ya binadamu ni kutofautiana hoja na kurekebishana na ndio maana huwa kuna mikutano na makongamano lengo ni moja tu kupata muafaka wa pamoja vingenevyo kama binadamu vichwa vyetu au upeo wetu ungekuwa sawa kusingekuwa na mikutano wala makongamano au forum kama hizi kwa kuwa mmoja akifanya maamuzi basi wote tunakubaliana nae, otherwise nimependa signature yako kama inahusika vile hapa though kizungu kinanipiga chenga kidogo
(A fool with a plan can outsmart a genius with no plan any day..!!!)wala hujakosea kaka mkubwa inahusika sana,,,
 
Ina maana makosa ya wazazi wangu kutokuelewana na kuachana nije nihukumiwe mimi?
 
Back
Top Bottom