Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Inategemea, inaweza ikawa ivo na inaweza hisiwe hivo.
Swali langu ni kwamba yote mabaya alio yafanya baba yako na wewe utayafanya?
Na mke akukatae kwa makosa ya baba yako, utajisikiaje?
Mtoto anaweza kuona mzazi anayofanya sio mazuri na akiwa mkubwa hafanyi kama mzazi wake.
Mfano watoto wa baba mlevi wanakuwa na akili sana na kufanya mazuri sana. Na mtoto wa padri ama shehe akawa mvuta bangi ama malaya.
Inategemea na akili ya mtoto mwenyewe, na alivoielewa dunia.
Mtoto anaweza kucopy tabia ya jerani, shangazi,binamu, mama mkubwa mama na akaiacha ya mzazi wake.
Wamalaya wengi nilio wanona wametoka kwenye family njema. Ndio hapo sasa hata mie namaswali