Nahisi kuna moja inakuhusu pale...... NIMEJARIBU KUWAZA WALE WAMAMA WALIOKWENDA BEIJING AU WALE WALIOOGANAIZI ULE MKUTANO, WATOTO WAO WA KIKE WAPOJE... SIJAPATA PICHA....
Welcome...!
Aisee hadi wewe unakula ban!?? au mods walikosea...
yani umeongea true bestito ungekuwa karibu ningekupa high 5 na kukukiss kabisa yani we acha tu
Jamani hapo kwenye umaskini inabidi tugawane, sasa tukiwaacha hao wanaotoka familia za kimaskini wataoeleka na kina nani?
Umeoma enh christine wangu; mi ningeshangaa kama usingekubali hili!Nimekupenda bure NasDaz, umeongea ukweli mtupu!...
Wewe unaejali na usie mbinafsi umefanya nini cha ajabu kunizidi?Tupo kwa ajili ya kusaidiana hivyo achana na mawazo ya ubinafsi, huu ni mtazamo wake juu ya kuoa kama una wa kwako tofauti na huu toa tujadili. Jinsi ulivyouliza hili swali inaonyesha wewe ni mbinafsi na usiyejali, acha tabia hiyo.
yani umeongea true bestito ungekuwa karibu ningekupa high 5 na kukukiss kabisa yani we acha tu
Hawajakosea wangu,jukwaa la siasa lina mambo ambayo hayavumiliki!
Umeonaeeh!huyu cjui yupo karne gani?...hebu atupishe!
Nimekuelimisha ili ubadilike na uachane na tabia hiyo ambayo haipendezi katika jamii, unaposaidiwa elimika usiwe mbishi.Wewe unaejali na usie mbinafsi umefanya nini cha ajabu kunizidi?
ingekua mwanamke ndo kasema usiolewe na mwanaume maskini hapa kusingekalika..
Back to the topic:
kama ingekua ni bungeni ningepinga asilimia 500
hivi ulishawahi kufikiri jinsi watu wengine hawapendi the mistakes made by their parents na wanajaribu kurectify kwenye maamuzi yao?
Sikatai mazingira yana effect kubwa kwenye maisha ila kama makosa ya wazazi yangetumika kujudge watoto dunia ingekua haikaliki kwasababu hakuna mtu chini ya jua ambae hana kasoro..
Unaoa mtu,sio familia nzima..na kama unajiona msafi saaana,try making your own
Chukua muda wako na umjue mtu kama binadamu sio vingne.