hapo nakubaliana na wew 100%, ila naongezea kidogo.., usioe mwanamke tajiri wala maskin sana. yaan muwe wa level moja.
kuna jamaa alioa mke kwao wapo poa kuliko kwao jamaa, basi kipindi cha likizo watoto wakawa wanagoma kwenda kwa babu mzaa baba, et 'kwa babu wa mbinga sis hatuendi, hata chai hakuna asbuhi wanaamka wote kulima, viaz kila siku hata chakula wakipika sio kitam, tv hakuna, sis tunaenda zetu kwa babu wa moshi"
ona hali hiyo sasa, jamaa inabidi kusalimu amri kila likizo waende moshi au aende pekeake mbinga.