Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Kwa lugha nyingine wanawake msiolewe na wanaume walolelewa na mzazi mmoja....

Usiolewe na mwanaume ambaye baba yake kazaa na wanawake tofautitofauti hata kama yupo ndoani

Mchunguze hao wanaume kama wao na kaka zao wale wazinzi walevi au wachawi

Chunguza ana madada wangapi na kama hawajaolewa usikubali kuolewa huko

Usiolewa na mwanaume ambao kwao masikini

Usiolewd na mwanaume ambae kwao wanamtegemea utaisoma namba

kwa staili hii itakua shughuli

mhm ! Ww mbona kama humenitachi mie
 
Dah! Nakubali mawazo yako hapo juu ni ya msingi, hasa unapotaka kuoa kwenye familia ambayo Baba na Mama waliachana, ni ukweli ambao nimeuishi, ila kwenye 5 na 6 sikubaliani na ww.

Duuuuuuuu!!!!!!!!so mkuu unapenda demu ambaye kwao wana mambo ya kishirikina?
 
acha mi nitoke kidogo nje ya mada.wadau mbona naona rate ya watu kupigwa ban iko juu namna hii?!.kuna majanga gani?cc wengine tulijipa likizo kidogo na jf.
 
humetoa mada muzuri lakina 5 kitu UMASIKINI hapo kiukweli kabisa hakili yako kidogo hili ganda. mfano ww hukipendwa na demu kwao njema na bahati mbaya hukamzalisha je hutamuhibia? Tatizo watoa mada wengi jf mnakuwa kama bongo movie mnahanza vizuri na mada mwishoe mnashindwa malizia mada
 
Dah! Nakubali mawazo yako hapo juu ni ya msingi, hasa unapotaka kuoa kwenye familia ambayo Baba na Mama waliachana, ni ukweli ambao nimeuishi, ila kwenye 5 na 6 sikubaliani na ww.
Hapo namba 5 naungana nawe pia, ila 6 usithubutu ndugu yangu.
 
acha mi nitoke kidogo nje ya mada.wadau mbona naona rate ya watu kupigwa ban iko juu namna hii?!.kuna majanga gani?cc wengine tulijipa likizo kidogo na jf.
Hadi huku MMU ban zinapita? Nilidhani ni siasani tu.
 
Hii ya mwisho imenigusa saaana. Ni kweli utapata shida mno na utajuta.

Ndugu zangu,

Katika kuishi na watu mbalimbali na kuchunguza ndoa zao kuharibika zifuatazo ni sababu zinapaswa ziangaliwe kwanza

1. Usithubutu kuoa katika familia ambayo ni ya kisimbe kwa sababu watoto hawatokuwa na maadili mazuri ispokuwa tu labda baba yao awe amefariki kwa bahati mbaya

2. Usioe katika familia ambayo kila mtoto ana baba yake hata kama huyo mama mkwe ana mme kwani wale mabinti watakuwa na mfumo huo huo tu wa umalaya.

3. Usioe sehemu ambayo mama anaonekana kuwa na sauti kumshinda baba na hao mabinti utakaowaoa watakuja na hilo wazo la kutaka kukutawala kama mama yao anavyomfanya baba yao.

4. Ukitaka kuoa chunguza kaka zake na mchumba wako ukiona ni walevi, wazinzi, wezi, waropokaji, wagomvi, piga chini huyo kwani naye atakuwa hivyo hivyo.

5. Usioe mwanamke ambaye kwao ni maskini mno kwani atakuibia na atajenga kwao au kukuroga akuinamishe ili kila analokwambia ufuate na hata kukuua ili arithi mali ni hatari mno

6. Usioe demu ambae kwao wana mambo ya ushirikina, ni hatari!
 
Kwani mkeo ana tabia zipi kati ya hizo ulizozitaja? Samahani mkuu kama swali hili litakukera.
 
hakuna mtu aliyezaliwa akiwa na tabia mbaya na vilevile hakuna tabia mbaya ya kurithi...
 
Hakuna aliyechagua azaliwe na nani au familia gani
Ndugu zangu,

Katika kuishi na watu mbalimbali na kuchunguza ndoa zao kuharibika zifuatazo ni sababu zinapaswa ziangaliwe kwanza

1. Usithubutu kuoa katika familia ambayo ni ya kisimbe kwa sababu watoto hawatokuwa na maadili mazuri ispokuwa tu labda baba yao awe amefariki kwa bahati mbaya

2. Usioe katika familia ambayo kila mtoto ana baba yake hata kama huyo mama mkwe ana mme kwani wale mabinti watakuwa na mfumo huo huo tu wa umalaya.

3. Usioe sehemu ambayo mama anaonekana kuwa na sauti kumshinda baba na hao mabinti utakaowaoa watakuja na hilo wazo la kutaka kukutawala kama mama yao anavyomfanya baba yao.

4. Ukitaka kuoa chunguza kaka zake na mchumba wako ukiona ni walevi, wazinzi, wezi, waropokaji, wagomvi, piga chini huyo kwani naye atakuwa hivyo hivyo.

5. Usioe mwanamke ambaye kwao ni maskini mno kwani atakuibia na atajenga kwao au kukuroga akuinamishe ili kila analokwambia ufuate na hata kukuua ili arithi mali ni hatari mno

6. Usioe demu ambae kwao wana mambo ya ushirikina, ni hatari!
 
Umevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
TRAP!!!!
wewe hapo unatoa arguement gani? nini ulicho andika kupinga au kuonyesha ueledi wako na ubora wa uandishi na flow ya logic zako mbona hazionekani?
Acha hizo hata kama wewe ni bora kiasi gani, usimponde mtu kiasi hicho!! siyo kila mtu ni mwandishi, writing is an art though all we can learn but not all us we turn into good writers. take it.
SP
 
Ndugu zangu,

Katika kuishi na watu mbalimbali na kuchunguza ndoa zao kuharibika zifuatazo ni sababu zinapaswa ziangaliwe kwanza

1. Usithubutu kuoa katika familia ambayo ni ya kisimbe kwa sababu watoto hawatokuwa na maadili mazuri ispokuwa tu labda baba yao awe amefariki kwa bahati mbaya

2. Usioe katika familia ambayo kila mtoto ana baba yake hata kama huyo mama mkwe ana mme kwani wale mabinti watakuwa na mfumo huo huo tu wa umalaya.

3. Usioe sehemu ambayo mama anaonekana kuwa na sauti kumshinda baba na hao mabinti utakaowaoa watakuja na hilo wazo la kutaka kukutawala kama mama yao anavyomfanya baba yao.

4. Ukitaka kuoa chunguza kaka zake na mchumba wako ukiona ni walevi, wazinzi, wezi, waropokaji, wagomvi, piga chini huyo kwani naye atakuwa hivyo hivyo.

5. Usioe mwanamke ambaye kwao ni maskini mno kwani atakuibia na atajenga kwao au kukuroga akuinamishe ili kila analokwambia ufuate na hata kukuua ili arithi mali ni hatari mno

6. Usioe demu ambae kwao wana mambo ya ushirikina, ni hatari!

Ukiwa unatafuta watu perfect kwa style hii nadhani itafikia mda una miaka 49 ndo unafikiria kuwa serious na mambo ya ndoa. Kwa society yetu ya kiafrika am sorry to disappoint you that most of the things you mentioned here are very common. I wonder how long will u keep away from these people.
 
wanaume hao anaowaambia wasioe aliyosema ndio wasababisha No 2 sijui walijipa mimba wenyewe
 
Huu ni mtizamo wako wewe binafsi usitake kila mtu akubali mtizamo wako.
Kwanza kabla ya kusema hayo uliyosema unatakiwa ujue yafuatayo
1. kwanini unataka kuoa
2.Je huyo utakaye fungamana nae kama mke wako ni kwa vigezo vipi tena vya muhimu sio eti huyu katokea x huyu katokea y huyu bali ni tutaweza kufika mwisho wa safari yetu??
3.ujue matokeo ya kuoa ni kuunganisha familia 2 tofauti katika kujenga familia nyingine ya tatu. sasa kama hili hulifahamu utaogopa kuoa familia maskini na pia mwanamke mwenye hela ndefu utamwogopa eti kwasababu atakunyanyasa.
4.Ndoa haifungamani na hayo uliosema, bali kwa kufuata maandiko ya mungu .

mwisho mke au mume mwema hutoka kwa mungu na ukikosea ukaenda kibinadamu utampata huyo unayetaka tusimfanye kuwamke.
 
Back
Top Bottom