Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Jamani hapo kwenye umaskini inabidi tugawane, sasa tukiwaacha hao wanaotoka familia za kimaskini wataoeleka na kina nani?
Nimekupenda bure NasDaz, umeongea ukweli mtupu!...
Hakuna point ata moja
umasikini sio kasoro. Masikini wa mzazi usimuhukumu mtoto
kuhusu Kabira wewe mwehu kweli ashumu wahaya , wanyaturu, woote wasiolewe sa wasomi watoke wapi. dharau za kurithi bila kutathimini.
Unajua huenda umejitathimini wewe tu ukaanza kumwaga pumba.
Je Mzinzi akaoe mtu aliyetulia?
Kila mwanamke duniani ana aina ya mwanaume anayefaa kumuoa mf mzinzi + mzinzi
au mwizi kwa mwizi
mkolofi kwa mkolofi
mlevi kwa mlevi
au mlevi kwa baamedi
handsome kwa beautful kikubwa mrandane sura tabia na uwezo wa kufikiri.
Mtoa mada unatakiwa kuoa alieishia darasa la pili una uwezo mdogo mno wa kuchambua mambo.
Wanasaikolojia tunaamini kila tabia mbaya inatiba
kwani mtu akikosea wewe inakuuma nini?
Mh...kabaki nani sasa??!
"A man must marry between the ages of 30 and 35 ..." - Plato
Mambo Christine, u were MIA down here, hw r u!??
Mambo Christine, u were MIA down here, hw r u!??
aah wapi napinga hoja asilimia 100, kwahiyo masikini waolewe na maskini wenzao ili iweje?
Mali zinatafutwa bro,ucmhukum m2 kutokana na umaskin wa wazaz wake
Nahisi kuna moja inakuhusu pale...... NIMEJARIBU KUWAZA WALE WAMAMA WALIOKWENDA BEIJING AU WALE WALIOOGANAIZI ULE MKUTANO, WATOTO WAO WA KIKE WAPOJE... SIJAPATA PICHA....Mwanaume wa aina yako ndo hafai kabisa! Mwanamke akuibie ina maana yeye anakuwa hana hela ama? Tupishe sie!
Poa...im gud, nilikula ban!thanx im back...MENTOR...