Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Hakuna point ata moja

umasikini sio kasoro. Masikini wa mzazi usimuhukumu mtoto

kuhusu Kabira wewe mwehu kweli ashumu wahaya , wanyaturu, woote wasiolewe sa wasomi watoke wapi. dharau za kurithi bila kutathimini.

Unajua huenda umejitathimini wewe tu ukaanza kumwaga pumba.
Je Mzinzi akaoe mtu aliyetulia?

Kila mwanamke duniani ana aina ya mwanaume anayefaa kumuoa mf mzinzi + mzinzi
au mwizi kwa mwizi
mkolofi kwa mkolofi
mlevi kwa mlevi
au mlevi kwa baamedi
handsome kwa beautful kikubwa mrandane sura tabia na uwezo wa kufikiri.

Mtoa mada unatakiwa kuoa alieishia darasa la pili una uwezo mdogo mno wa kuchambua mambo.

Wanasaikolojia tunaamini kila tabia mbaya inatiba
 
Dah! Nakubali mawazo yako hapo juu ni ya msingi, hasa unapotaka kuoa kwenye familia ambayo Baba na Mama waliachana, ni ukweli ambao nimeuishi, ila kwenye 5 na 6 sikubaliani na ww.
Si kila mwanamke ambae ameolewa zaidi ya mara moja ni malaya, wanawake wengine hawapendi kuzinguliwa; ukimzingua nae anakuzingua na ukiendelea na miyeyusho yako, anasepa zake.....na kwavile nae ni mwanamke, na probably mpenda staha ambae hawezi kuishi na mwanamme bila ndoa; basi atalazimika kuolewa tena!! Lakini akishaolewa, anatulia na ndoa yake(yaani hafanyi uhuni nje) lakini na huko ukimzingua, nae anakuzingua!! Mpango mzima upo hivyo!!

Sasa ole wako uzani yule mwenye watoto zaidi ya mmoja kwa baba mmoja ukazani ndo ame-settle; utaumia!
 
Sio wote wako unavyofikiri,fikiri upya na utafiti pia ufanye. Mfano kila mtu anafahamu kuwa wachaga ni wezi je? ni kweli na kama na kweli hakuna ambao sio wezi? Niko Singida kikazi ila sio kweli kwamba Wanyaturu wote ni washirikina,tena hao washirikina ni wa kuhesabu kama ilivyo kokote Tanzania.
 
I agree to totally disagree with you. You have no proof and we leave in the same society where the type of women you mentioned are living well and happily with their families

In real life, the saying "Samaki mmoja akioza basi wote wameoza" don't really apply. So kama umewaona baadhi don't take it as general.

True Words
 
Mengine umejitahidi, lakini la ushirikina umechemsha. Usikute kabila lako ndo linaongoza kwa ushirika lakini tuhuma zote kwa wahaya na wanyaturu. Toa kwanza BORITI kwenye jicho lako ndo uone KIBANZI kwenye macho ya wahaya na wanyaturu.
 
sina uhakika kama ni kweli mkuu unenayo.
"NENDENI HUKO WAOGA,
KWANI NYIE AMTAKUFA.
WAREMBO TUNAWASWAGA,
HATUOGOPI MAAFA."
umdhanie ndiye kumbe sie tubadilike jamani.
 
SIKU HIZI UKIFUATA UKABILA WE UTAKUA HUNA AKILI..NANI ALIKUAMBIA WAHAYA NA WARANGI NDO WANAONGOZA KWA USHIRIKINA? Acha upumbavu
 
Awe na sifa asiwe na sifa sioi ng'oo! Ndoa ni majuto, kama unabisha oa/olewa.
 
hakuna mtu perfect chini ya jua.......
kinachoniudhi kwako mtoa mada unamhukumu binti si kwa makosa yake ila kwa ya familia yake......
kuna wengi walio ndani ya familia za namna hiyo na wanaumizwa na hali hiyo na ndoto zao ni kuhakikisha kuwa wanakuwa na maisha tofauti na ya wazaz na ndugu zao......
nadhani ni vizur zaid kuangalia tabia halisi ya mtu kwanza.....

MSHUKURU MUNGU WEWE UMEBAHATIKA KUZALIWA NA KUKUA KWENYE FAMILIA ILIYOKAMILIKA........
Kweli mkuu maana wakati mwingine matatizo yanayowatokea huwa ni mafunzo kwao kwani tayari wameshaonja dhahama la wazazi kupigana na isitoshe hata hao wazazi wanaopigana wazazi wao (mababu wa huyo binti) hawakuwa na utamaduni wa kudundana
 
Wakuu, Jamaa ni JEMBE ila jembe lenyewe linakata magugu na mimea ya mzao bila kuchagua! Halipalilii kama inavyotegemewa!anaonekana kuwa na hasira sana! Au tayari yalishamkuta!!!!
 
Si kila mwanamke ambae ameolewa zaidi ya mara moja ni malaya, wanawake wengine hawapendi kuzinguliwa; ukimzingua nae anakuzingua na ukiendelea na miyeyusho yako, anasepa zake.....na kwavile nae ni mwanamke, na probably mpenda staha ambae hawezi kuishi na mwanamme bila ndoa; basi atalazimika kuolewa tena!! Lakini akishaolewa, anatulia na ndoa yake(yaani hafanyi uhuni nje) lakini na huko ukimzingua, nae anakuzingua!! Mpango mzima upo hivyo!!

Sasa ole wako uzani yule mwenye watoto zaidi ya mmoja kwa baba mmoja ukazani ndo ame-settle; utaumia!

Nimekupenda bure NasDaz, umeongea ukweli mtupu!...
 
Awe na sifa asiwe na sifa sioi ng'oo! Ndoa ni majuto, kama unabisha oa/olewa.

"By all means, marry. If you get a good wife, you'll become happy; if you get a bad one, you'll become a philosopher." - Socrates
 
Kwa hali ilivyosasa ni kama umegusa makundi yote, hakuna kundi limesalimika hapo, na kama lipo basi ni nadra sana. Je tusioe? Badili mtazamo au fanya utafiti wako upya.
 
Ndoa NDOANO TU. Wapo mabinti wa ukweli lakini ni WACHACHE SANA. Mabinti wengi ni SARATANI TU, ukiipata itakutafuna to THE MAXIMUM.
 
Mkosoe kwa hoja
Umevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom