Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Umevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
sasa mkuu mbona unamponda sana Kijana?Ushauri kama huu haujengi bali unabomoa,,Kwani mtu kuishia form 4 ndio asiwe anatoa yake ya moyoni?Na hata kama uwezo wake wa kufikiria ni mdogo basi wewe mwenye uwezo mkubwa utakua umemuelewa vizuri zaidi..Umesema pia Amepitwa na wakati ni sawa coz siyo watu wote wanapata nafasi ya kuji expose na vitu kama hivyo kama ilivyo kwa upande wake....zaidi ya yote UMESOMA LAKINI ELIMU YAKO HAIKUSAIDII
 
Mwana we ni kilaza 2, pia umekulupuka kuingia JF huku xio fb!!?? Worning. Ndoa haina style ila iga za wenzio uvunjike mgongo or anzisha ya kwako.
 
Katika kuoa, sidhani kama utaweza kuchunguza na kubaini juu ya yote uliyoyaainisha. Yahitaji miaka, na ktk miaka hiyo yapasa uishi nae kama mchumba (kitu ambacho si maadili).

Muhimu ni kutazama mambo ya msingi tu, mengineyo hutooa!
 
okay! sasa kamati je unashauri mabinti wasithubutu kuolewa na wanaume wa vipi?!?!?
 
Last edited by a moderator:
Kwa lugha nyingine wanawake msiolewe na wanaume walolelewa na mzazi mmoja....

Usiolewe na mwanaume ambaye baba yake kazaa na wanawake tofautitofauti hata kama yupo ndoani

Mchunguze hao wanaume kama wao na kaka zao wale wazinzi walevi au wachawi

Chunguza ana madada wangapi na kama hawajaolewa usikubali kuolewa huko

Usiolewa na mwanaume ambao kwao masikini

Usiolewd na mwanaume ambae kwao wanamtegemea utaisoma namba

kwa staili hii itakua shughuli
 
Wewe tunakuheshimu sana lakini pumba ulizoleta hapa ngoja nisijitafutie ban bure.
wewe na huyo demu wako ni watu wenye uelewa mdogo ambao hamjielewi 'the past of your parents can not be the guarantee of your future' labda uwe kilaza àmbae amekuwa programmed enculturally.
kudhalau maskini na kukashfu makabila ya wengine kwa sababu ya watu wachache ni upunguani wa àkili.
 
Mke maskini ndo balaa sasa coz ako obsessed na vitu vya gharama coz she's not used to them, so ni rahisi sana kukusaliti, akipata mchizi mwenye mkwanja mrefu, at least manzi ambaye kwao mkwanja ulikuwepo kiasi, she's used ... But anyway sometime it depends
 
unaweza kuwa na mktazamo mzuri lakini pia kunachembechembe za kibaguzi so usigeneralize makabila. Pia wapo maskini wazuri tu na wasio na tamaa na mali
 
sasa mkuu mbona
unamponda sana Kijana?Ushauri kama huu haujengi bali unabomoa,,Kwani mtu
kuishia form 4 ndio asiwe anatoa yake ya moyoni?Na hata kama uwezo wake
wa kufikiria ni mdogo basi wewe mwenye uwezo mkubwa utakua umemuelewa
vizuri zaidi..Umesema pia Amepitwa na wakati ni sawa coz siyo watu wote
wanapata nafasi ya kuji expose na vitu kama hivyo kama ilivyo kwa upande
wake....zaidi ya yote UMESOMA LAKINI ELIMU YAKO HAIKUSAIDII

Sasa na wewe ndio umwambie mwenzako amesoma ila elimu haimsaidii? Umekosa Hekima na Busara
 
Mmh bora mimi akili za kuambiwa huwa nachanganya na zangu,kama mbayuwayu ndivyo nilifunzwa na Raisi wa JMT baba mwanaasha.
Sasa nawaonea huruma wale wanaokutegemea kwa ushauri huko nyumbani kwenu, nadhani anguko lao litakuwa baya sana.
 
Oa tu bwana baada ya hapo mtafuata MTUMISHI amfanyie deliverance...sio vizuri kutenga wenzenu
 
Huu uandishi wakuweka maneno yasioeleweka siupendi kabisa,

Eti cfa,xaxa cjui, ndio nini hii?
 
hakuna kitu kibaya km kuweka watu espcly wanawake under microscope as if wewe malaika flan tz wamejaa wanawake wanaotokea familia za maskini na wako kwny ndoa kwa raha zao na wanazeeka pamoja natabia ulizozitaja we endelea kujidanganya uone mwisho wako.wengi wa namna iyo wanaishiaga kuzeeka peke yao kwani kila m/ke wanaona hafai.
 
Mkuu umenena!uchawi umesahau mdigo,msambaa,mzaramo.uhuni wa kudumu mhaya,mrangi,mnyiramba
 
hapo ckubali usioe mke masikini kwani atakuibia kumbuka mke masikini ndio mzuri kwani anakuwa hapendi mambo makubwa na vile vile unaweza kuish nae kwa amani kwani ww ikitokea mwanamke unamtaka alaf yeye ni tajiri huna haki ya kumuoa kwa kuwa utamuibia mali zake kumbuka wizi ni tabia ya mtu ambayo ameizoea hata kama yuko vp na tathmini inaonesha matajiri ndio wizi na maskini wizi ni kidogo sana kuliko matajiri
hapo nakubaliana na wew 100%, ila naongezea kidogo.., usioe mwanamke tajiri wala maskin sana. yaan muwe wa level moja.

kuna jamaa alioa mke kwao wapo poa kuliko kwao jamaa, basi kipindi cha likizo watoto wakawa wanagoma kwenda kwa babu mzaa baba, et 'kwa babu wa mbinga sis hatuendi, hata chai hakuna asbuhi wanaamka wote kulima, viaz kila siku hata chakula wakipika sio kitam, tv hakuna, sis tunaenda zetu kwa babu wa moshi"

ona hali hiyo sasa, jamaa inabidi kusalimu amri kila likizo waende moshi au aende pekeake mbinga.
 
KASHOROBANA, Ta Muganyizi, tibihika na wengineo jamani njooni upesi hapa kuna issue inawahusu!

Uzi huu ni wa upande mmoja tu (mfumo dume) mbona hujawaasa wadada wasikubali kuolewa na wanaume wenye background zipi! Tahadhari tu kwa mleta mada, ushirikina hauna kabila, dini, wala kiwango cha elimu. Ni tabia ya mtu na huiwezi kuibadili labda aokoke kiukweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom