Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
siku nyingine uwe unatumia tigo bwana!!!Nimeamini nimenunua kwa nmb mobile fasta dk.2 nimepata unit na umeme huo.
siku nyingine uwe unatumia tigo bwana!!!Nimeamini nimenunua kwa nmb mobile fasta dk.2 nimepata unit na umeme huo.
Wakuu yaliyo nikuta leo ni
majanga kweli nimerudi home LUKU imekata nikshauriwa ninunue kwa tiGo
pesa nikawapuuza wadau nikaamua kununua m- pesa mpaka sasa ni saa zima
linakatika sijapata umeme. Nasikilizia tu giza totoro.
Ingiza kwanguvu itakubali!
Juzi nimetoka kugombana na jamaa mmoja mwenye kutoa huduma ya M-Pesa baada ya kununua umeme, eti ananiambia tayari ameshaniingizia! kama sio wale jamaa wanojiita Askari Jamii sijui ni nini kingetokea!Na isipokubali apake mafuta.
Juzi nimetoka kugombana na jamaa mmoja mwenye kutoa huduma ya M-Pesa baada ya kununua umeme, eti ananiambia tayari ameshaniingizia! kama sio wale jamaa wanojiita Askari Jamii sijui ni nini kingetokea!
Nunua luku kupitia M_pesa upate muda wa maongezi.
Nunua luku kupitia M_pesa upate muda wa maongezi.
voda bureeeeee sanaaaaaaaaaaaaaaa,hata mie hilo limenikuta wakubwa,isipokuwa mimi ilinichukua saa mbili unusu kuupata,bahati nzuri nilinunulia jioni saa 11 hadi mida ya saa moja wakanirushia,na ni umeme wa luku nyumba ya kupanga watu walianza kusema nimekunywa pesa yao,kazi ni kwako
Na isipokubali apake mafuta.
Wakuu yaliyo nikuta leo ni majanga kweli nimerudi home LUKU imekata nikshauriwa ninunue kwa tiGo pesa nikawapuuza wadau nikaamua kununua m- pesa mpaka sasa ni saa zima linakatika sijapata umeme. Nasikilizia tu giza totoro.
Pole sana.Wakuu yaliyo nikuta leo ni majanga kweli nimerudi home LUKU imekata nikshauriwa ninunue kwa tiGo pesa nikawapuuza wadau nikaamua kununua m- pesa mpaka sasa ni saa zima linakatika sijapata umeme. Nasikilizia tu giza totoro.
Tigo wako fasta sana
Mimi yamenikuta leo.
Fedha imekatwa lakini umeme hola.
Mpesa hovyo sana !