Wakuu yaliyo nikuta leo ni majanga kweli nimerudi home LUKU imekata nikshauriwa ninunue kwa tiGo pesa nikawapuuza wadau nikaamua kununua m- pesa mpaka sasa ni saa zima linakatika sijapata umeme. Nasikilizia tu giza totoro.
Weka solar system, achana na makitu ya tanesco