Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

mhhhh vipi wachaga na wakinga kwenye utafutaji naona wapo juu zaidi ya mnyakyusa
Mkuu, kama nyumbani kwako ulikuwa unakula mboga moja, ukioa mnyakyusa utakula hata mboga nne kwenye mlo mmoja. Nawafagilia sana dada zangu
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.

aaaah! wapi, mnyakyusa! haaaaha hilo kabila lina dharau sijawahi kuona kana kwamba hakuna mtu bora kuliko wao,,,kwanza mimi ni chotara wa kisukuma na mnyamwezi sasa ukizingatia hapo sisi asili yetu na dharau ni chura na maji ya moto, hatuendani na wala hatupikiki chungu kimoja na mtu mwenye midharau kama hao wanyakyusa,,,,pamoja na kujituma kwao lakini pia mkifanikiwa kimaisha mwanamke wa kinyakyusa anakuvizia na mchi au mwiko wakati umelala anakuinjika nao kichwani....halafu mkizaa watoto wengi na mkawa masikini utasikia ndugu wanasema "sasa nyie mungu kawapa watoto wengi hivyo na bado masikini, si mmtoe mmoja sadaka awasidie wenzake",,,hapo maana yake mtoto mmoja awe ndondocha ili mpate mali na utajiri...ptuuuuu hawa watu hawafai hata kwa kulumangia aisee
 
"..nilale mwenyewe wanione mi malaya!nipige ngwala yoh..."
mh mi mnyakyusa hapana kwakweli hawa wanapenda sana kushindiliwa mashine,minyege ya kumwaga
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.

Sura ngumu hapana wako bomba
 
Kuna ukweli ndani yake,coz mtu wangu wa karibu ashawah kuwa na mahusiano na mnyakyusa...wanapenda vibaya,ila kauchawi nako wanakapenda...
 
Hivi mnaposema mwanamke yuko vizuri kitandani mna maana gani?..au mnakuwa mmetega kamera mnajishuti?au kuna sababu gani zaidi?...umalaya tu
 
Mwanamke wa kinyakyusa huwezi kumuoa then umweke idle, lazima ajifanyishe shughuli nae achangie kitu ndani, ndio maana hata wakitarikiana au kufiwa na wenza, bado maisha ya mijini wanamudu sana!
 
kwamaisha unayoishi ya ndoto za mchana huwez kuishi na mnyakyusa..... Wale hawataki ubabaishaji kama ulivyo ww.... Na akishajua ni mwanaum suruali kama ulivyo ww anaweza kukuzaba vibao kabisa...... Wale wanataka mtu anayejitambua na sio anayeishi kwa ndoto za kuwa na maisha mazur wakat kaz yake ni kula kulala na hata uwezo wa kupata elfkumi huna kama ww

Umenena vyemaa ukileta ujinga utapigwa tuuu
 
dharau tunazo kabisaa tena mimi mmoja wapo na kazi tunafanya vizuri ndoa tunavunja kama wewe mwanaume suruali mbona utaisoma lakini kuna aina mbili za wanyakyusya wa kyela na wa tukuyu wa kyela ndio tunaongoza kwa dharau wa tukuyu wapole sana halafu pia tunapenda sana shule tunaweza tukawa tupo top 3 kwa makabila yote.ila wanyakyusa wakarimu sana sana sana.

Kyela wapi mwenzangu??mie wa tenende huko
 
Me am not marry mnyakyusa. my wife from njombe very sweet beutiful wife. small small not fat not slender like a stick. very intelligent.

Eeeh kwa ngeli hio lazima huyo wa njombe mnaendana
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.

Ktk uwajibikaji wa ujenzi wa uchumi wa family.., Wanawake wa kabila la Wasafa mkoani Mbeya, nao husifika pia.
 
nikitaka kuoa naoa mnyaki mwenzangu, kwanza wanajua kulia.,,,,:alien:
 
Mm nina mfano hai kuna baba also a wake wa3 mmoja mnyak mwingine muhehe mwingine mmbena bahat mbaya akafiriki,yule mnyaki kajiendeleza na mali alizoachiww mpaka sasa kafungua lodge hawa wengine ni kukopa tu kila cku wanachukuliwa vitu ndani
 
kwenye sura ngumu nakubaliana na weww 100%

pia wanajua kuhudumia yani nilipata mmoja ananihonga hadi najishtukia
 
Back
Top Bottom