miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
We mnyakyusa?
Yes.....tena wa kyela
We mnyakyusa?
Labda wa siku hizi ndo wanajituma kitandani ila kazi kweli wako vizuri wanajituma ila kitaandani ni siri ya mtungiKwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.
Ulinkafu wa kumyituYes.....tena wa kyela
Mbombo ngafu.... from mrs.Lutufyo!!!
Ulinkafu wa kumyitu
Mma ne mundali nkamuDaudi1 wewe ni mnyakyusa? mma bhagwitu jhobha kanunu
Mkuu, siwezi kujihumu lakini amini usiamini tatizo alikuwa yeye, nilimchagua mwenyewe, na mwanzo alionekana poa tu, kwa mabaya aliyonifanyia sikumbuki zuri hata moja yote yamefutika, am just unable to recall... believe me, hao watoto unaosema tutunze heshima kwa ajili yao yeye ndiyo kwanza huwa ananitukana matusi mazito mbele yao. Kama mke angekuwa anapata tabia kwa mume basi leo angekuwa better person than what she is right now.
kama ni suala la uchizi nadhani ni sahihi, tena sio alikuwa bali ni chizi as of now.... and she can go to hell.
Sisemi haya kwa ku refer kabila lake, hapa nazunghumzia tabia yake baaaasi, kuna wanyaki kibao wako poa na tunaheshiaman sana tu na wengine ni business partners wangu...
Thanks
Mie Mndali, jina linajieleza. Wanyakyusa wa Kyela ndio tabu sana, Tukuyu huko wanyenyekevu hadi utaona aibu. Washika dini sana na kama umekutana na gumegume wewe utakuwa mwenye bahati mbaya sana yaana katika gunia la dhahabu umeokota jiwe?
Sister wangu alipata mchumba wa Kyela...mama akachunguza wakoje kitabia...kutoka kwa marafiki zake wa Tukuyu akapewa onyo kwamba sister anaingia kwenye trouble...mama akamshauri sister kama mzazi; hawa watu ni ABC...
Mahaba niue dada kafumba masikio...leo hii anatamani kurudisha muda nyuma...Kyela wanawake wana midomo; wanaume ni wakimya sana ila ni players; ushirikina ndio mwake...
Yote mama alomuonya yalitimia...ingawa ni mbaya ku generalize; binadamu tunajengwa kitabia na mazingira yanayotuzunguka; kwa mtu aliyezaliwa na kukulia kijijini uwezekano wa kuwa na tabia za kijiji ni mkubwa...labda hawa wa mjini waso na kabila (kabila jina)
Mma ne mundali nkamu
Mnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.[/QU
duh!? Kumbeee mie nilikuwa sijui
tatizo watu wengne akili zenu sijui zpo kwenye makalio sjui..... Hivi kunamkoa ambao sio washirikina?? Uliwahi sikia kuwa wanyakyusa wamemtumia mtu radi imemuua? Au ulisikia kuwa wamemuotesha mtu busha? Au ulisikia kuwa wamewakata watu mapanga kwasababu ya kuwa na macho mekundu?? Mbona unajiropokea bila kutathmin?? Sasa nikuambie kitu ukitaka kujifunza injili na neno la Mungu nenda kwa wanyakyusa....... Ila ushirikina nenda sumbawanga,tanga,kigoma,shinyanga na pwan...... Angalia hata mabango ya waganga wakienyeji
Ngozi zinachunwa wapi????
Kwa nini kila siku kunaota uyoga wa makanisa kama Nigeria???kubali kataa nyie ni nouma.....ndio maana wanaume wanatafuta wake makabila mengine ku neutralize...mnajuana...
Dini si zinatumika kufunika maovu au hofu ya kuogopa wachawi walotapakaa kila kona...kuna watu wana dini kama Wa Nigeria?
Ngoja niishie hapa maana nikiandika yalomkuta dada yangu unaweza bomoa screen ya laptop yako...
ndio maana nakwambia unakurupuka kujisemea bila kutathmini mara nyingi ukiona mtu analogwa ugenini ujue yeye ndio kaanzisha tabia ya kuroga watu..... Binafsi siamin ushirikina na siwez kurogwa pasipo na kosa..... Yawezekana huyo ndg yako alianza kuchoma watu..... Wachunaji wa ngoz sio wanyakyusa kama hujui uliza uambiwe..... Unaweza kuusema uchawi kumbe ww ndio hamlali usiku mnakesha kwenye makaburi....... Ukitaka kujua ushirikina wa mbeya kawaulize wakinga watakwambia
FYI dada yangu hakuwahi kurogwa ...
Ila mume wake ambaye alikuwa ni jicho la familia na tajiri wa ukoo alikufa; sisi tukajua (na tunaendelea kuamini) kuwa ni mapenzi ya Mungu...
Ndugu wa mumewe wakaanza kumchanganya sister kuwa mumewe karogwa tena na kaka yake...hapo ndio nikajua hawana maana...tena familia inazozana hata marehemu hajazikwa....
Hapo useme nini? hiyo imani y kurogana wanatoa wapi kama nao si key players...mbaya zaidi familia inashikana uchawi...yani nilikuwa nahesabu siku turudi DSM (tulimsindikiza sister msibani) maana niliona hapa unaweza fanywa ndondocha...maana mazungumzo ni uchawi tuuuuu
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.