Usithubutu kukopa pesa Platinum au Bayport matapeli hawa

Kuna Uzi wa Bayport niliwahi usoma hapa Kuna jamaa mkopo umeisha ila wanaendelea kumkata
 
Ukiona huu uzi umefufuliwa, tayari ujue kuna mtumishi wa umma huko kanaswa kwenye mtego wa hao jamaa.

Sijui tuseme mara ngapi ili tueleweke.! Sehemu salama ya kukopa kwa mtumishi wa umma, na pia mfanyabiashara mwenye dhamana kama nyumba, nk. Ni benki tu. Mfano NMB, CRDB, TCB, NBC, nk.

Huko kwingine ni maumivu mara mbili ya hizi benki nilizo zitaja.
 
Back
Top Bottom