Usithubutu kukopa pesa Platinum au Bayport matapeli hawa

Ndugu wana jf hizi kampuni za kukopesha fedha zina usumbufu sana riba yao kubwa kudai loan balance wasumbufu, ukitaka kufuta deni hawakubali.

Ndugu wana jf nawashauri acheni kukopa kwa hawa majamaa ni matapeli sana kuwa makini
Shida ni utapeli au loan balance au makato?
 
Ndugu wana jf hizi kampuni za kukopesha fedha zina usumbufu sana riba yao kubwa kudai loan balance wasumbufu, ukitaka kufuta deni hawakubali.

Ndugu wana jf nawashauri acheni kukopa kwa hawa majamaa ni matapeli sana kuwa makini
Sure for sure for 100% nakubalina na wewe
 
Ndugu wana jf hizi kampuni za kukopesha fedha zina usumbufu sana riba yao kubwa kudai loan balance wasumbufu, ukitaka kufuta deni hawakubali.

Ndugu wana jf nawashauri acheni kukopa kwa hawa majamaa ni matapeli sana kuwa makini
Sana sana sana 👉👏
 
Back
Top Bottom