Nimeona baadhi yenu mnajifanya kuuliza shida yao ni nini mnawatetea 😅 tunajua nyie ni mawakala wao uchwara, ila ngoja niwatajie shida zao...
1. Hawatak uwalipe mkopo wao ukipata cash
2. Hawatak kutoa loan statement, wanajionaga wajanja kumbe mapunga
3. Hawatak kuruhusu bank nyingine inunue mkopo wako kwao, ni wapuuzi
4. Wakikubari kukupa loan statement wanakubambikizia deni kubwa ili ughairi ubaki nao, maboga tu hawa
5. Hawatak kukuonyesha mikataba yao na watakulazimisha ujazie ofisini kwao hio mikataba, vilaza sana
6. Kabla hawajakupa mkopo wanaanza kukukata mshahara, ukiwauliza mbona hamjanipa mkopo bado wanakujibu usihofu system tu imewah, hwana akili
7. Mkopo wao haushi mfano kama mkopo wao unaishia mwezi August wataendelea kukukata tu hadi ugombane nao, lengo lao ukate tamaa ushawishike kukopa tena Wasenge sana
8. Mkopo wako ukibak miez michache kuisha watakusumbua kukupigia cm kukushawish ukope tena, maanina zao
9. Ukipata mkopo watakupigia cm kukuomba hela ya soda eti wamekumbambania umepata mkopo.
MIMI WAKIJA OFISINI HUWA NAWAFUKUZA NA HAWAPAT NAFAS YA KUONGEA HATA NA MTU, NA BAHAT NZURI HUWA NATEMBELEA WADAU WILAYANI NA MIKOANI NAWAELIMISHA KUHUSU UTAPELI WAO, CHA KWANZA NIKIKAA KIKAO NA WADAU WANGU NAWAPIGA MARUFUKU KUKOPA KWENYE TAASIS ZA KIPUUZI KITAPELI KAMA BAYPORT, PLATINUM, BARCLAYS, NA VITAASISI/VIBENKI UCHWARA...
Watu wengi sana wametapeliwa na hao watu, bahat nzuri sijawah kukopa kwao, hayo niliyo andika ni malalamiko ya wateja wao kutoka maeneo tofaut tofaut...