devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 266
- 372
- Thread starter
- #61
Hawa jamaa ipo siku watafilisika na kulala mbele hawafai
We utakuwa unafanya kazi maboto.mara mia ukope MABOTO MICROFINANCE LTD shida ndogo hiz 50-10mil,,niwaminifu sana liba nafuu sana aise
Si ya Mama Anna mkapa hiyoMatapeli wakubwa bayport
Hilo sahau maana kila siku wajinga wanaendelea tu kuongezeka, huku hizo kampuni zikitumia kila aina ya mbinu kuwashawishi!!Jamaa ipo siku watakosa wateja na kampuni zao zinakwenda kufa na kufilisika ..muda utaongea
Kakudanganya Nanimara mia ukope MABOTO MICROFINANCE LTD shida ndogo hiz 50-10mil,,niwaminifu sana liba nafuu sana aise

Wanatozaga riba kwa mwezi ni 5%Inaonekana wewe ni Meneja wa Maboto. Weka riba yenu kwa mwaka hapa.
Kwahiyo 5%×12=60% apr!Wanatozaga riba kwa mwezi ni 5%
Ongeza Songesha, M-Pawa na wengineo kama hao.umewasahai Faidika..letshgo
... na hasa Walimu..Hilo sahau maana kila siku wajinga wanaendelea tu kuongezeka, huku hizo kampuni zikitumia kila aina ya mbinu kuwashawishi!!
Tamaa ya mkopo wa chap chap, ahadi hewa, ujinga na kukurupuka! Havijawahi kuwaacha salama baadhi ya wafanyakazi, na hasa wale wa serikali.
niliwah kopa kwao nikamaliza mda uleule na makato yaleyale na nimekopa tena mwk huhuu labda tatzo lao ni nn? bossKakudanganya Nani![]()
Wanatozaga riba kwa mwezi ni 5%
Watu hatupendi rudisha pesa mkuunimekopa mil moja kwa mwaka nimerudisha 1.2mil halafu pesa hyo nilipewa aslimia 99.9 kwene ac yang wanakata asilimia moja tu ya mkopo wanaokuwekea,,ex 1mil ni elfu 10
kukopa tunapenda ila kurudsha inakuwa maneno ila kwa beiport na platnum hata mm shaid na matapel kinoma maden yao hayaish mkuu..Watu hatupendi rudisha pesa mkuu
Sijui mkuu, sitetei mtu. Ila kama unakopa muhimu uwe na record za kiasi ulichopewa na utunze kumbu kumbu, wakupe mfumo wa marejesho uweke record. then lipa with ushaihidi mkuu.. ukimaliza deni lao na ushidi unao zipo sehemu za kuwapeleka.. kuliko kulia lia bila ushihid unaonkena kama umeishindwa lipa denikukopa tunapenda ila kurudsha inakuwa maneno ila kwa beiport na platnum hata mm shaid na matapel kinoma maden yao hayaish mkuu..
Acha uwongo wa mchana kweupe,nimekopa mil moja kwa mwaka nimerudisha 1.2mil halafu pesa hyo nilipewa aslimia 99.9 kwene ac yang wanakata asilimia moja tu ya mkopo wanaokuwekea,,ex 1mil ni elfu 10
hahaha huamini mkuu mteja mzur sana wa maboto ntakuja nikupe ushahid mkuuAcha uwongo wa mchana kweupe,
Weka hapa mkataba wa huo mkopo wako.
Sio utakuja kuweka,hahaha huamini mkuu mteja mzur sana wa maboto ntakuja nikupe ushahid mkuu