Usithubutu kukopa pesa Platinum au Bayport matapeli hawa

Hii nchi Kila kitu ujanja ujanja na ukanjanja tu kuanzia uongozi ngazi ya chini Hadi juu, makampuni, wakulima.

Wafanya biashara,elimu nk.

Yaani bongo hatupogi seriously na mambo tunaenda kibishi bishi Kama gari bovu!

Tatizo ni pale wamiliki wa hizo ishu ni wanasiasa na vigogo Fulani kwahiyo hakuna wa kumfunga paka kengele

Shame!shame!shame!
 
Back
Top Bottom