Ni kweli kabisa B, siku hizi watoto wanakuja home na H/work ngumuuuu, hazisaidiki lol!dogo hawezi hata kusaidika huko home maana ukiangalia familia nzima ni vilaza wakiwa naye..
Itabidi ili tuende sawa na sisi turudi tena chekecheaNi kweli kabisa B, siku hizi watoto wanakuja home na H/work ngumuuuu, hazisaidiki lol!
Kweli ati, vinginevyo watoto watatuumbua na hivi tunavyokazana kuwasomesha st. Emmy, kazi ipo!Itabidi ili tuende sawa na sisi turudi tena chekechea
Salama kabisa na SL pia namwona yuko salamasafi sana ricky...
umeamka swafi?
Niko poa kabisa madame....Kweli ati, vinginevyo watoto watatuumbua na hivi tunavyokazana kuwasomesha st. Emmy, kazi ipo!
Umeamkaje b52?
Umeona eeeehEnzi zetu:
A for Apple,
B for Book,
C for Cat,
D for Dog,
E for Egg,
F for Fan,
G for Goat,
H for House,
I for Ink pot,
J for Jacket etc..
Am good enough Sir...Niko poa kabisa madame....
wewe je?