Na bado mpaka wanawake wajitambue ndo michepuko itaisha....
wewe binti ambae mume
wa mtu anakuja na kujifanya kukulalamikia matatizo kati yake na mkewe na
kumpaka kwako ili wewe ujione ndio wewe usidanganyike,jua huyo ni kimeo
tu ni njia ya kuitengeneza saikolojia yako kua wewe ndo bora kumbe
umeliwa. ukiona hivo kimbia kwa spidi kali kadri miguu yako inavyoweza
kukubeba.
vivyo hivyo kijana wa kiume.
Hebu waambie tena mwanamke akiamua mushindane mwisho wasiku mwenye faidi ni yeye mwanamke...Hivi kwa nini wasijiulize hilo swali. Maana mwanamke anaweza kulala na watu zaidi ya kumi kwa siku na analipwa...je wewe mwanaume na mie ulale na kumi uwezo upo! na mfuko unaruhusu? Fikirini kwa kina.vivyo hivyo...na bado mpaka wanaume wabadilike. tena wanawake kwa michepuko hawajambo
Natumia simu mkuu