Usiposikia shauri yako

Usiposikia shauri yako

katibasitti

Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
61
Reaction score
37
wewe binti ambae mume wa mtu anakuja na kujifanya kukulalamikia matatizo kati yake na mkewe na kumpaka kwako ili wewe ujione ndio wewe usidanganyike,jua huyo ni kimeo tu ni njia ya kuitengeneza saikolojia yako kua wewe ndo bora kumbe umeliwa. ukiona hivo kimbia kwa spidi kali kadri miguu yako inavyoweza kukubeba.
vivyo hivyo kijana wa kiume.
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu hii dunia imegeuza miguu juu kichwa chini.
 
Hata mabunti nao wanawajua wakija na malalamiko tu hauna shida kikubwa salio linasoma? Kujua ana mke au hana haiwasumbui hata kidogo.
 
huyo nt anabana kazi maana kuna wakati nlikuwa nakutana naye sana border ya belt brdg dizunga
sema kuja kutumia rahisi maana ujanja umewazidi wataingia tu

Yaaah, ni kweli mkuu, BEIT BRIDGE border ya ZIM na DIZONGA, hata mm nlishamtia machoni sfr 1 naenda JOZ kwa wana, huko nikapewa story zk!
 
wewe binti ambae mume wa mtu anakuja na kujifanya kukulalamikia matatizo kati yake na mkewe na kumpaka kwako ili wewe ujione ndio wewe usidanganyike,jua huyo ni kimeo tu ni njia ya kuitengeneza saikolojia yako kua wewe ndo bora kumbe umeliwa. ukiona hivo kimbia kwa spidi kali kadri miguu yako inavyoweza kukubeba.
vivyo hivyo kijana wa kiume.

Na bado
 
Na bado mpaka wanawake wajitambue ndo michepuko itaisha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom