Usipohonga yakikukuta usilalamike

Mungu aliumba dunia siku sita ya saba akapumzika.baada ya kumuona mwanadamu(Mwanaume) ana mtu wa kufanana naye ndio akamuumba mwanamke.yaani adamu angempenda tembo au twiga leo hii tusingekuwa na hawa wanuka damu
 
Mungu aliumba dunia siku sita ya saba akapumzika.baada ya kumuona mwanadamu(Mwanaume) ana mtu wa kufanana naye ndio akamuumba mwanamke.yaani adamu angempenda tembo au twiga leo hii tusingekuwa na hawa wanuka damu

Mkuu unaposema wanuka damu unamaamisha nini....?
 
 

Msiumize vichwa huyo ameshaonja pesa za uchangudoa
 
Hivi huyu mtoa mada hao wanaume anaowazungumzia huwaokota wapi?She can't be serious,for sure!So so greedy with ego.
 

Hahaaa hahaaa, inabidi nicheke kwa nguvu. ..wewe ni mvulana suruali tuuu hata ujiteteeje ptyuuu...eti mwanamke ndo mtafutaji haya weeee
 
Kuzaa hata mbuzi anazaa na pia analea na bado akili hana. Hahahahahah cna maana hyo ya sheikh khalifa

Nilie mwambia ni binadam na amezaliwa na mwanamke binadam sio mbuzi ndio maana nikamrejesha akumbuke mama yake alivyohangaika kumzaa na kumlea pamoja na udhaifu wa mwanamke , sasa sielew umekurupukia wapi, labda kama wew umezaliwa na mbuzi poa.
 

ahaaaa umenipata hapo mwisho. ni kweli wadada wenzangu jithamini
uthaminiwe ishi utakavyo si mara flan ana mtu na mm nataka utaishia
kuzoazoa typeless.
 

Kalia hayo mjumbe Mungu alimpa Adam jukumu la kulima bustani ya Edeni na kuitunza hilo ndilo jukumu la mwanaume toka zamani hivi sasa ni vurugu tupu mwanaume anamgoja mwanamke atoke ofisini hadi saa tatu usiku ama saa nne usiku lini atampikia atamfulia nguo atamfariji mume atahudumia watoto kwa ukaribu ataangalia mambo ya nyumbani?. Mfano umeoa mbunge, pilot, ama hata polisi ama mwanajeshi ama nurse imekula kwako mjumbe. Wanaume tufikilie tuache ubushoke ati mwanamke kaacha familia kaenda kusoma India stupid ujingaa mtupu mwanaume ugonge nyani?. Ati inajisifia wewe mwanaume. Mwanamke mfungulie miradi utakayomweka karibu na familia mfano jamaa mmoja kamfungulia mkewe mradi wa kufuga kuku wa mayai home ana supply hivi sasa viwandani ukienda unamkuta home anasimamia vijana wa kazi ati unaoa mhudumu wa benki alafu unataka kumfanya ka mtoa mada anavyosema. Umeshindwa kabisa oa mwalimu tena wa shule ya kataa. Kuna jamaa kaoa standard seven ila yeye kaenda Shule balaa na tokea akiwa Shule aliapa kutokuoa mwanamke aliyesoma. Jamaa full raha hadi anabrashiwa viatu . Natamani sana kamnunulia gari uwezi amini ni standard seven ukimkuta akiendesha mkoko. Wanaume tutafute pesa tuache kulia lia.
 

Kama hawajaelewa na hapa basi wana lao jambo. Mkuu umemaliza yote...! Baba na mama mtaamkaje saa kumi na moja asubuh na mrud saa tatu usiku(afu usiombe kila mtu arud na mastress ya kazn kwake) na pesa ilivongumu kupatkana, migogoro mpaka bas! Wanajua sema hawatak kukubali.
 

unajua kumshauri mtu ambaye tayari anamajibu ya matatizo yake ni ngumu sana. Halafu kisaikolojia Confrontation sometimes inatumika kama tiba ya mtu mwenye matatizo. Mimi naona hii njia ya kumkabili moja kwa moja bila kupepesa macho itamsaidia badala ya kumpa maneno laini laini yatakayo mfanya ajihisi yupo sahihi
 
[sema ubatafuta mwanaume Mwenye MALENGO
PESA ZINAISHA NA ZINATAFUTWA VILE VILE]

Second to non advise, you are inspirational. Nimekupenda bure.
 
Amini nakuambia vichwa vya wanawake mia moja wenye degree ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza elimu ya msingi.....

Kweli kabisa mkuu mfano lwo star tv kuna mama tena n Dr alikuwa anapigia chapuo katiba pendekezwa kwa sababu tu ya 50/50 kwa wanawake na wanaume yaan mambo mengine yooote hayaoni kama yana impact zaid ya ilo. MWANAMKE AKISOMA ELIMU DUNIA NDIO ANAONGEZA UJINGA WHILE KWA MWANAUME NI VICEVERSA
 
Nilie mwambia ni binadam na amezaliwa na mwanamke binadam sio mbuzi ndio maana nikamrejesha akumbuke mama yake alivyohangaika kumzaa na kumlea pamoja na udhaifu wa mwanamke , sasa sielew umekurupukia wapi, labda kama wew umezaliwa na mbuzi poa.

The fact is ulijisifia kuzaa et ndo uwezo wenu that is y nkasema hata wanyama wanazaa..... alfu usijisifu kukimbia sana bila ya kuanza kumsifu anayekukimbiza.... umeelewa mmwagie sifa yule anaekugalausa kwa bed had tumbo likavimba..... kwanza ww hata kuzaa cjui kama umezaa na hata kama umezaa bac baba wa mtt hautamjua
 

heeee shost mbona yote unayosema yananigusa best..hapo kwenye ndugu ndio ilikua balaa sasa hata wanafunzi tu hataki hata niwasapoti japo kidogo ukizingatia sio mimi ninaewasomesha ni ile tu madogo wanaomba tuhela tu kumi kumi au 20,,,, au unaeza kuta ndugu yangu asie na mbele wala nyuma kaniomba kahela kadogo tu mwanaume atasema mpaka basi utasikia " tena hao waliokataaga shule sio wa kuwasikiliza kabisa kipindi wanakataa walitegemea nini waache wayaone maisha,,,, yani wewe hao ndugu zako hao....haaaa hapo mimi nilisomeshwa na ndugu hapo walijinyima nyima mpaka nikafanikiwa leo hii eti nisiwasikilize ndugu puuuuuuuuuuuuuu!!!!!
 
Fedha ni kama kisu, huokoa au kuua.
Penye upendo mtajadiliana
^^

Bora hata mjadiliane ieleweke sa mtu kufoka foka tu .. mwanamke unajishusha weeee mpaka inafika wakati unachoka ndio mwanaume ni kichwa cha familia na anatakiwa kuheshimiwa na kusikilizwa pia but hata mke ana mchango mkubwa sana kwenye maendeleo yenu so ifike wakati nae asikilizwe na sio kumovercontrol kama mtoto vile ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…