Usipitwee.!

Usipitwee.!

Anza tu kumuita shemeji kama umeshindwa kabisa hata kuomba namba ya simu.
 
Mwambie akutajie S.LP yake kisha mtumie barua ya maombi ya namba za simu...
 
wapo humu {jf} walio na haka katatizo.
fuatana nami;
Yupo mdada (bright,pretty & very kind) huwa nakutana nae kama mara 3 au 4 kwa wiki hivi katika michakato ya kimaisha. Napenda awe rafiki wangu sana lakini nashindwa hata kumuomba namba ya simu. Nifanye lipi awe rafiki wangu ? !

What are you??? Yaani kwa haraka haraka unaonyesha kabisa huna mbele wala nyuma, yaani demu umtake wewe halafu ushindwe kumwambia! Unapewa ushauri eti unauliza "akikataa!?? Jeez is that our problem ??? Sikia kijana kama unauza maji ya viroba dont waste your time beutiful women are expensive....! Utatukanwa bure !!!! Halafu utashidwa kuapproach tena mwanamke mwingine siku nyingine anza na wale wa size yako
 
Yaani mada za siku hizi humu JF mpaka zinakatisha tamaa ya kuchangia....unabaki kujiuliza tu..huyu aliyepost huu uzi ni mwendawazimu au mwehu....au pengine chizi.....
Unakosa majibu unaamua kuzima kimchina chako unajipumzikia tu...
 
siuzi maji
 
Santee
 
Back
Top Bottom