Usipitwee.!

Usipitwee.!

Nikiku Second Bi Dada huyu bwana anaweza kufanya violence kwa huyu dream baby wake kasha ajipeleke polisi kwenda kujistaki sasa wakati wa kuchukuliwa maelezo binti tajwa atahojiwa na nina imani ataacha namba zake kwenye jalada la kesi ilikurahisisha mawasiliano! Baada ya keshi aombe kulipa fine baada ya hapo aombe nakala ya jalada la kesi ambapo naamini namba za huyu mrembo zitakuwemo!

Si umeona eeeh........mbinu zote hizi ashindwe yeye........
 
Ukikutana naye katika hiyo michakato yenu ya maisha umwambie haya maneno, "dada hua nakuonaga tu napenda uwe rafiki yangu lakini nashindwa kukuomba namba ya simu"
Atachekaaa na namba utapata trust me.

Ni.kweli kabsa.
 
Siku hizi ukishapata number ya mdada ambae unatamani kumgegda basi fasta anzaga kuweka budget ya hotel (guest) maana uhakika wa kumla ni 99%.
 
Hiv ni ticha wewe eeee kama nakufananisha vile
 
Back
Top Bottom