Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
Unauza nini?
we kweli mke mwema,sahizi ushaamka?
Unauza nini?
we kweli mke mwema,sahizi ushaamka?
Paw na kanisa wapi na wapi,akiingia kanisani lazima sanamu ya Yesu idondoshe chozi.Namuandaa paw tunaenda kanisani. Bila kumsimamia kunywa chai na kuvaa soksi nyeupe hatotimiza afu mama yake atanikasirikia.
Wewe umeamka mapema kwa nini?
Paw na kanisa wapi na wapi,akiingia kanisani lazima sanamu ya Yesu idondoshe chozi.
mi namalizia wine niende kanisani
Siku uta-rip halafu utukute mlangoni mie na paw ndio wapokea wageni nahisi utazimia tukikuambia jina lako halipo.
Malizia uwahi baba. Leo nna nguo mpya lazma nikae mbele kabisa
Siku hizi hunipi wivu yule shemasi anayevaa nguo za kitenge ananipa malezi ya kiroho
sio mfanya biashara
Hutaamini nimebarikiwa kiasi gani kusikia sasa huna jicho la huba kwa mke wa jirani yako. Sasa uache kutamani na ng'ombe na mjakazi wetu
Unauza nini?
Hahahahaaa.....unataka kuwa mteja..??
Kweli Mungu ashukuriwe maana haiwezekani kwa nguvu za kimwili
duh.naishia KUONA 2?
duh.naishia KUONA 2?
tarehe uliyojiunga inanifanya nisikuamini sana..........
anyway......cha kufanya we mrukie mng'ate.......atakupeleka polisi.........ninavyowajua polisi watawaambia mrudi mkasuluhishe nyumbani.......utakuwa hujampata bado..........?.....