mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
Ningekuwa na uwezo ningeita vijana wote waje kusoma huu ushauri mzuriWengi wenu mnapata tabu kwa vile mlikuwa na expectations kuubwa,hii hutokea hasa kwa vijana kwa vile awali hukuwahi kujua saikolojia hasa ya mwanamke
Binafsi nilichojifunza kwa miaka hii nimeishi duniani ni kwamba usiwe na matarajio chanya tuu kwa kitu chochote kwenye maisha wewe jua tu kwamba Jambo lolite unalolifanya kwa malengo chanya Basi jua Kuna hasi yake pia.Hii itakusaidia kujiandaa kisaikolojia kuhimili pindi hasi ikitokea ili usipotee kwenye reli yaani uwe na huzuni inayohimilika na kuganga yajayo,ukizaa watoto kwa mfano jua pia wanaweza wakafariki au wakaugua au ukabahatika wakawa vizuri
Ukioa wewe jua inaweza tokea ukawa cheated nk so jiandae kisaikolojia kwa Jambo lolote hasi kwenye maisha ,kuishi kwenye nadharia ya perfection,rightness na positive response mda wote ni mbaya lazima utatoka kwenye reli,utakata tamaa na inaweza pata stroke kwa heart attack