Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,363
- 1,504
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]
Mim nmeachana na dem1 miaka 8 iliyopita..lakin kila siku huyo dada anafuta namba yangu au ku block na badae kuiachia ..siunajua tuu mtu akikublock utajua thru whatsap...pia huwa anani unfolow instagram...na ananifollow tena.sasa sielew yule dada ana matatzo gan...na huwa anafos nimuwish siku za bday yake ikifika...yaan ni miaka 8 imepita huwez amin....actualy yeye ndo alinifanya had nikawa player...sabab ni yeye sasaa hakuamin nilipomwacha had leo maana alijua nampenda sana....akawa ananifanyia vimbwanga
Huyu wangu kama sio Mungu kunisaidi nilishawaza kuchulua Gobole la babu nikauwe mtu potelea mbali kwani shingapi? Sema hekima na mawazo ya wakubwa yamenisaidia sana mpaka leoNilishasema wanawake wapendeni kwa kiwango usijinyime kula kisa unawekeza pesa zako kwa mwanamke ukizani ndio utamfurahisha, usijiumize kitandani ukidhani ndio njia ya kumtuliza, hawa viumbe hata uwape nini huwa kuna mda wanabadilika tu, anaweza kutana na mtu ndani ya wiki moja na akamtunuku tunda kimasihara
Penda kwa kiasi mtakuja kulia
Yani ukifanya mistake unaweza ukauwa kweli hawa watu ni majangaHuyu wangu kama sio Mungu kunisaidi nilishawaza kuchulua Gobole la babu nikauwe mtu potelea mbali kwani shingapi? Sema hekima na mawazo ya wakubwa yamenisaidia sana mpaka leo
😂😂Brother katika ubora wako😂😂😅😅sawa brother.
Hiki kitengo cha mapenzi ni kigumu sana kaka.we acha tu
Halafu ananichekea chekea tu kijinga, nikawaza hivi huyu anakichaa au vp maana siku pata usingizi karibu wiki nzima mpaka natamani usiku usiingie maana nawaza ntalalaje mzee haya mambo sio mazuriYani ukifanya mistake unaweza ukauwa kweli hawa watu ni majanga
Mkuu hapa ni kama umetoa siri ya ninachopitia sahivi. Yani napata wakati mgumu sana Mungu ndo anajua!Mkuu acha kabisa, maumivu yake ni makubwa sana , hapa naandika lakini mimi still nimepitia changamoto hiyo siku si nyingi , kweli niliumia sana hasa ukitegemea nilimpenda sana huyo mtoto lakini yeye akaniona BOYA .
Wenye pesa waka mchukua nikafuatilia ishu nzima , nikaja kumuuliza kwa kumtega amekataa kabisa kwamba sio kweli tena macho makavu kabisa.
Nikimuangalia nabaki kulia mwenyewe maana nawaza huyu nimfanyeje ila sina chakufanya namshangaa mpaka saa hii. Anawezaje kunidanganya kiasi hicho?
Kama anaweza kutembea na mtu mwingine akakataa mblele yangu atakuwa kanidanganya mangapi?
Acha tu man
Umeanza mambo yako wewe hujawahi kutendwa unaonekana .Bahati zinawenyeweee.....@Captain A
Lengo kuu hapa ni kupeana moyo, na kusaidiana kimawazo , jitahidi kuvumilia mkuu japo sio rahisi sana maana najua ningumu sana. Mimi nimepitia hicho kitu na najua maumivu yake , vumilia mkuu sema mwanamke sio wa kumwamini kabisa hata awe mke wako.Mkuu hapa ni kama umetoa siri ya ninachopitia sahivi. Yani napata wakati mgumu sana Mungu ndo anajua!
Duuuh....poleeni sanaa wakuuMkuu hapa ni kama umetoa siri ya ninachopitia sahivi. Yani napata wakati mgumu sana Mungu ndo anajua!
Haya maandiko yako yamenifunza sanaa,kila kitu fanya kwa kiasi,nikitendwa mm ambaye nishasoma mchezo maumivu n tofaut na ww uliye deep down.hawa viumbe c wa kwenda mzma mzmw,wakishajua unawapenda bac ndo huanza visa wakidhan utaomba msamaha tu.Nilishasema wanawake wapendeni kwa kiwango usijinyime kula kisa unawekeza pesa zako kwa mwanamke ukizani ndio utamfurahisha, usijiumize kitandani ukidhani ndio njia ya kumtuliza, hawa viumbe hata uwape nini huwa kuna mda wanabadilika tu, anaweza kutana na mtu ndani ya wiki moja na akamtunuku tunda kimasihara
Penda kwa kiasi mtakuja kulia
Ahahaa ni ukomavu tu nilionao...nilitendwaga,skutamani kula wala kulala kwa sku mbili..Umeanza mambo yako wewe hujawahi kutendwa unaonekana .