Usiombee kutendwa

Wanaume tumeumbwa na ujasiri sana, na siyo rahisi kuonyesha udhaifu wake ata pale anapoona ameumizwa sana na mahusiano

Wengi wao huwa tunazuga kama hali hiyo haituumizi kumbe moyoni mwetu kunafukuta maumivu ambayo yanauma na ata umeze Lori la panadol sio rahisi kupata nafuu,binafsi hali hiyo imenikuta na kuna wakati natamani ata nisitoke nje kuona kinacho endelea ila ndio hivyo lazima maisha yaendelee.

Natamani nibadili namba ya simu pengine nahisi naweza kupata utulivu na kumkwepa ila nahisi nitapoteza watu wengi sana ambao tunasaidiana kimaisha,nipo kwenye msongo mzito sana wa mawazo

Hapa JF ndio sehemu pekee naweza kueleza hizi hisia ambazo siwezi Ku share na mtu yeyote physical ila nina uhakika na hili litapita.
Chukua muda wa kuzipumzisha hisia
 
Pole Sana mkuu...ilishanitokea....ila muda ni mwamuzi mkubwa Sana nilishamsahau
Asante mkuu, sema kuna kitu kinakaa hapa kooni , huwezi kumeza wala kutema una hang hang tu . Hicho ndio tatizo ukipatwa na hali hii. Kiufupi inaumiza sana yani wala hujui la kufanya
 
Pole mkuu
Japo mie sio kutendwa.wala sikumkosea
Nlipatwa na majanga,ndo ikawa byebye
Nlilazwa muhimbili nahangaika kwenye wheel chair,masindano kama yote.yule nliemuona rafiki wa hata kunitext ujumbe wa faraja kaenda kwa wazima..mi kaniacha!
Tena ananiambia hivihivi kabisa mi na we bhasi.

Mapenzi yametawaliwa na unafki sana.
 
Pole mkuu
Japo mie sio kutendwa.wala sikumkosea
Nlipatwa na majanga,ndo ikawa byebye
Nlilazwa muhimbili nahangaika kwenye wheel chair,masindano kama yote.yule nliemuona rafiki wa hata kunitext ujumbe wa faraja kaenda kwa wazima..mi kaniacha!
Tena ananiambia hivihivi kabisa mi na we bhasi.

Mapenzi yametawaliwa na unafki sana.
Pole mkuu
 
Kuachwaa sio mchezo pole Sanaa...
epuka vitu vitakavyokukumbusha mapenzi yenu ,jichanganye na marafiki, jarbu kuona km ni rahisii thou sio rahisi litapitaa

Move on , kaza moyo muda unaongea utasahau kila kitu ujishangae
 
Bado upo 'depo' vumilia tu uvuke salama, si muda utaanza kucheka na kutabasamu ukikumbuka nyakati za upuuzi wenu na huyo x wako.
 
Nilishasema wanawake wapendeni kwa kiwango usijinyime kula kisa unawekeza pesa zako kwa mwanamke ukizani ndio utamfurahisha, usijiumize kitandani ukidhani ndio njia ya kumtuliza, hawa viumbe hata uwape nini huwa kuna mda wanabadilika tu, anaweza kutana na mtu ndani ya wiki moja na akamtunuku tunda kimasihara

Penda kwa kiasi mtakuja kulia
Vijana sijui hawaelewagi nini

Nawashangaaa tu wanavoangaika na madawa ya kuongeza nguvu, kutafuta pumzi gym, kuwekeza kwa demu eti kumridhisha

Nabaki tu najisemea kimoyomoyo 'hawa vijana hawawajui wanawake'
 
Mwenyewe nishawahi kuteseka kizembe baada ya yule manzi kunisaliti but now nashukuru Mungu huwa najutaga kwann niliteseka vile kumbe dem mwenyewe wa kawaida tu now kaachwa na yule Boss kutwa kunitafuta namcheka tu kwa mbali sina time nae kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom