Usiombee kukosa hela

Ishu sio lazima awe tajiri au vip...mfano zamani mwanamke hata kushika milion hajawah akianza kushika tu anakua hana tym hizo ...hao wa crdb huenda wanapenda show tu...

Haya bana. Mi wacha nijipigie Show na Kwangu nawaona wana hela. Mwanamke wa Kawaida tu kuwa na Nyumba ya karibu Mill 300 na Usafiri wa karibu Mill 70 huyo ukisema hana Pesa utakuwa una kijiba cha nafsi. All in All mi napiga Show clearly na michone yao. Kilalu wanacho na show inapigika.
 
mkuu si ungewapigia watu wote uliokuwa nao kwenye simu angetokea mtu tu akutumie hata elfu 5
Namueleww jamaa,Kuna muda ktk kumbukumbu zako ushawakopa na kuwaomba watu wote,na wengi washakuterm Kama msumbufu maana washakusaidia Sana na ww unaona noma kuomba zaidi!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Hivi bro unafikiri biashara Ni rahisi kiivyo??unaweza ukaenda nazo stendi ukaishia kuzila mwenyewe,nakumbuka tulipigika na jamaa yangu akaenda kwenye network marketing akapewa azungushw sabuni za unga,alizunguka siku nzima akaishia kuuza moja tu,Happ nauli Hana,ile hela ya sabuni akaja nayo gheto na sabuni tukawa tunazitumia tu,

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Halaf unahisi Kama Mungu naye anakucheka hivi


Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Biashara ni kujitoa muhanga bro usiogope hasara jaribu tu
 
Achana nao Hawa mademu weny hela kina kim Kardashian wagongwa fresh tu,

Eti wakiwa na hela hawapati hisia wadada wa JF mtuache kidogo
 
Kiukweli inauma umaskini ni mbaya sana.Pole hata kama ni ingekua ni mm yataka moyo ila yote maisha itafika time yako
 
Hii kauli itakuliza siku moja....ukiwa kwenye hali nzuri unaona wasionacho ni kama hawajitambui hawana akili, ipo siku utakosa hela ya kula I promise, utayakumbuka haya.
Ukiwa na hela mtu akisema hajala unamuona mzembe anakosaje hela ya kula ndio huyo jamaa
 
Kiukweli inauma umaskini ni mbaya sana.Pole hata kama ni ingekua ni mm yataka moyo ila yote maisha itafika time yako
Umasikini ni mbaya unadhalilika Kweli mdogo wako anakwambia andika business plan nione yy alitakiwa niambie kiasi gn kitakusaidia biashara iendelee ningemtajia yy ndio angesema ntakupa kiasi Fulani hyo unayotaka Sina kwa Sasa
 
Umenigusa / me mhanga wa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…