Usiombee kukosa hela

Sema kweli maisha yana mitihani mingi na mingine ni ile ya kujitakia unashangaa umefanya jambo halafu linakupiga hasara sometimes linakuwa jambo la kifala kabisa japo kuna mengine yanakuja kama mpango wa Mungu ila yote kwa yote ni kujifunza tuu.
 
Kuna kitu umekiongea ndo knanitokeaga everytime....kuna jirani yangu ni mhitaji...mhitaji kweli...akija kulia shida mm nakua sina kitu..mayb nakua na 20k ...bas last tym kaja mida kama hii anasema mdg wangu ww nichoke tu .sijala na wadogo zako toka jana .nikamwambia mama why unakuja late .akanihadithia magumu anayopitia😭😭😭..mwanaye wa kiume kampa mimba binti wa jiran so amepata mjukuu hana hata nguo za kumvik mjukuuu uwiiianadai hata mama mtoto anamchemshia tembele..mhh maisha haya...nikampa hela niliyokua nayo ila nashangaa kila akija mie nakua sinaga hela ya maana...naishiabkumpa misosi na mkaa akapike
 
Tabu zote ulizopitia ila ufahari wake Ni kudinya wanawake wenye hadhi, hivi mkoje nyie,
Wanawake tuko tofauti Sana kadri tunavyosimama kimaisha na sex drive yetu inapungua, yani ukiona hakika ya maisha mi asset imesimama biashara zinasonga au kazi iko vizuri ile Raha tu unakojoa hata bila ya kuguswa
 
Mkuu acha watu wakulane

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Ss hata kufunga hii ramadhan utaweza kweli?
Kuropoka tu hivi ni vitu vya kawaida natamani ungejua nina uvumilivu
wa kukaa bila kula kiasi gani, kiufupi usiwe mwepesi kuhukumu kwa usichokijua. Kuna uhakika gani km sikula hiyo siku moja pekee?

In fact uzi haukutaka tujimwambafai hapa, nachagua kukaa kimya dhidi yako.
 
Kumbe eeh...sasa mbona mnatuleteaga ungese wa kutaka kukula mihela yetu ata hela ndogo ya salon?

Alafu nimejua kwa nini sasa wanawake wenye mafanikio kimaisha ndoa inakuwa shida.
 
Hivo vizee vipo na mara nyingi kwao kuhonga laki 2/3 au kodi ya nyumba sio issue sasa wewe mtoto akikwambia nina birthday kesho unatoa elfu 10 tena kwa mawazo sana
Ndio tunatakiwa tupambane tukiwa vijana ili uzeeni tuwe tunasasambua mbusus za mid twenties ladies bwana.

Hapo vitega uchumi vinatema tuu hela wee slay queen akiomba laki mbili unampa tuu
 
KUMBE HII MBINU YA KUSAGIA MAGUNZI KWENYE DONNA UNAIJUA?KWELI WEWE NI WA MITIKASI MINGI AT NO LONGER MAGUNZI HAYATATUPWA TENA KWANI YAMEGEUKA NI DONA SAFI SANA.
Duh magunzi mkuu? Sasa yanasagika kweli huko mashineni au ndiyo inabidi yarudiwe rudiwe ? Aisee maisha haya🙌
 
Nacheka kama mazuri vile😀
 
Nakumbuka nishawahi kufulia kabisa nashinda njaa ili nije nile mlo mmoja wanaita katikati ya mchana na usiku, siku nikaskia tumbo linauma mno kwenda hospital Doctor akanambia nna vidonda vya tumbo na ndiyo vinaanza , aliniuliza tu "hauli mlo kwa wakati"?🤔😒Now namshukuru Mungu mambo yanaenda kiasi. Ni mapito tu
 
Kumbe eeh...sasa mbona mnatuleteaga ungese wa kutaka kukula mihela yetu ata hela ndogo ya salon?

Alafu nimejua kwa nini sasa wanawake wenye mafanikio kimaisha ndoa inakuwa shida.
Ile hali naifeel nikishika vihela huwa ni utulivu mtupu, na hapo unakuta hela yenyewe ya kupewa, Sasa pata picha Ni yangu ya jasho langu, kwa mwaka nitaliwa kwa single digit na ukitaka kunila uandae mazingira mazuri yenye hadhi, vinginevyo naghairi na cha kunifanya huna😁
 
Shenzi kweli wewe, yani mtu kagongwa na shifa kushoto na kulia mwanzo mwisho alafu unapata unafuu kwako unasahau hata njaa zilivuokugonga we unawaza kudinya tu 😂 hii nchi hii
 

Uongo uliopitiliza. Kuna Madada 2 wa kwanza yupo Bank kuu na mwingine yupo CRDB. Huyu wa CRDB ni Boss kabisa na wote hawa wapo vyema ile mbaya, nikijaga Tz full usumbufu kutaka kudinywa, halafu useme mkiwa nazo hampendi Show. Sio kweli, wenzenu kama nyie Shule zimo kichwani hela wanazo na show kwenda mbele.
 
Shenzi kweli wewe, yani mtu kagongwa na shifa kushoto na kulia mwanzo mwisho alafu unapata unafuu kwako unasahau hata njaa zilivuokugonga we unawaza kudinya tu
hii nchi hii

Mkuu kusema ukweli nataka kumpiga tafu Mwanaume mwenzangu kidogo. Maana hata sisi wengine huko tulikotoka washkaji tu walitupiga Tafu. Wenye nchi yao wananisumbua sijalipa kodi yao maana nilikuwa huko na Visent nilikuja navyo nimeviingiza kwenye miradi na Mjengo. Ntampiga Jack mwana anivutie Subira kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…