Usiombe yakukute

Chamachama

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
200
Reaction score
129
inaumiza sana tena sana unajitahidi kadri ya uwezo wako ufanikiwe lkn hakuna chochote ,miaka 32 sasa loo mafanikio cjui lini ukitazama wengi wenye umri huo wamepiga hatua jamani natafuta sumu nijinyonge nipeni aina ya sumu ntakayokunywa nife kimyakimya
 
Ndio ujifunze kuishi na jamii, kumbuka utakutana na kila aina ya vichwa.

Haya ni maisha tunayoishi kila siku
 
Hata ukifa, huko unakokwenda utaendelea na maisha uliyoyaacha hapa...

Bora ukomae utatoka tu Mkuu.....
 
Before you do that
Toa figo, damu na baadhi ya viungo muhimu kwa watu wenye mahitaji hayo hospitalini

My take tembelea hospital kama ocean road kuona watu wanavyotamani kuendelea kuishi wakipigana na kansa
 

Hakuna watani wetu wa Iringa hapo karibu wakupe mbinu mbadala?
 
Yaaani ulivyo desperate hata sembe unaweza beba wewe! Mafanikio hayaji kwa kunung'unika! Yanakuja ukiwa focus, dedicate ur self and hardworking! Wengi wetu hatufanyi hivyo tunalalamika tu
 
hivi nursery school wamefunga shule au
 
Before you do that
Toa figo, damu na baadhi ya viungo muhimu kwa watu wenye mahitaji hayo hospitalini

My take tembelea hospital kama ocean road kuona watu wanavyotamani kuendelea kuishi wakipigana na kansa
Umenikumbusha wale jamaa bara Asia wanaouza figo kwa dala 10,000 halafu wenzao wanaenda uza kwa mamilioni ya dollars.

Kawaida wanaenda theatre kuondolewa moja
 
Umenikumbusha wale jamaa bara Asia wanaouza figo kwa dala 10,000 halafu wenzao wanaenda uza kwa mamilioni ya dollars.

Kawaida wanaenda theatre kuondolewa moja

Na huyu jamaa inatakiwa afanye donor kwa watu wenye mahitaji
 
Haha kufa tu tuje tule ubwabwa wakati wenzio wanaweka akiba we unahonga .vuna ulichopanda.
 
Nunua sumu ya panya kinywaji cha hiyo sumu iwe gongo
 

We kiumbe nahisi kama umefyatuka akili hivi kwa vitu unavyoandika...

Hebu ngoja turejee nyuma tuone mtiririko wa sredi zako...

A: 15 Julai 2014

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/690157-yaliyojiri-jana-jamani.html


Hivi kuna uhusiano gani kati ya baba na babu?

Kama ulikuwa na nia ya kumuelezea mmoja tu kulikuwa na haja gani ya kumtaja mwingine...!!!

B: 11 Julai 2014

https://www.jamiiforums.com/mahusia...114-kweli-kuolewa-kuna-mengi-waweza-kufa.html


Hii ni thread nyingine tena unataja habari za kifo, are you retarded?

Kama kweli unatamani kufa nunua sumu ya panya na unywe muda huu na wala tusisikie habari zako tena....


NOTE:
Ukijibu post hii nitaamini wewe una upungufu wa akili maana hadi sasa naamini u marehemu na mwili wako upo mochwari ndugu zako wamekuja kuutambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…