Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Ngoja nijiue mim make drama zake sio et siwezi kuish bika wew dah kwan nlzaliw nae pamoja
Hiyo ikishindikana anza tabia ya kumrekodi wakati unamgegeda kama hapendi atakataa na akikataa we shikilia hapohapo mpaka akereke ila usizitume mtandaoni baki nazo kisha unazifuta.
 
Pole sana mkuu, mshahara wa dhambi ndio huo....., yaani umekuwa dhaifu sana kama mwanaume kwa kutii tamaa zako za mwili..., inakuwaje ufanye maamuzi ya kuzini na mwanamke ambaye huna malengo ya ndoa na yeye pasina hata kutumia kondom. Nina mashaka pia kama hata ulishawahi tumia hiyo zana toka uzaliwe. Kifupi nakulaumu sana kijana kwa kungonoka kizembe hivyo. Ndio lazima niseme.., Je, umecheki pia kama huna VVU? Anyway. asante kwa kutoa fundisho kwa vijana wengine ili wasiingie kwenye mahusiano kama hayo ya hatari bila utaratibu maalum.
 
Pole sana mkuu.
Ila huyu nae ndio kujiua gani huko anajikata mkononi.
Kumbuka ana mimba. Kujikata mshipa huo mkubwa maana yake damu itatoka kwa wingi na baadae atakuwa na upungufu wa damu, ambayo ni tatizo sasa kwa hiyo mimba. Ni rahisi kupoteza fahamu na hata maisha pia.

Na kama damu ingeendelea kutoka bila kupata msaada angekufa, halafu weka akilini nani angehusishwa na kifo hicho.

Alikuwa anajiua. Huyo ana matatizo ya akili na hana huruma hata kwa mwili wake mwenyewe
 
Mkuu pole sana kwenye hii dunia lisipo kukuta jekundu basi litakukuta la kijani apo usi
 
Nimekupata vema ndugu,lakini mwenzako nimeahaharibu hivyo,kinachonipa shida ni kwamba huyu Dada wakazini nawezaje kumuepuka?
Kwa sababu hisia zangu kwa kiasi kikubwa zinamkubali sana,najiona kabisa kwamba nampenda!!!

Na tukienda ofisini muda wote tupo pamoja nawezaje kukiepuka kikombe hiki!!?
Maana hata uwepo wake najua ndo unaiumiza familia yangu!!!
Wewe hauko sawa yaan huyo yuko na watoto wengine 2 amezaa na mtu/watu wengine afu ndo unamng'ang'ania unaachwa mwanamke uliye mtambulisha nyumbani ana mtoto ako na mimba yako nyingine + umetambulishwa kwao

Serious uko na shida sehemu ktk kuwaza kwako inawezekana amekushikia maamuzi ( libwata )

Anyway kwakua unashupaza shingo maamuzi ni yako
 
Back
Top Bottom