Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Miaka yote hiyo ndugu yangu,nitawezaje kuwa naye kwa miaka mingi hivyo!!?
Wakati mimi natafuta namna bora ya kuepukana na mazingira haya!!!
Muanzishe dawa kumbuka ni mzazi mwenzako . Bombo wana kitengo kizuri lakini Lutindi kuna wataalamu wengi zaidi
 
Aise pole sana mkuu
Jitahidi kutuliza akili na kufanya maamuz ambayo ni sahihi jaribu kupitia comment za wadau angalau utapata kitu
Mfano kuna mtu amekuambia anza kwanza na huyo mgonjwa hayo mengine yafuate
 
Ila nawe inaoenekana matumizi ya kinga kwako mwiko.
POle ndo ukubwa huo oa wote wawili kwa usalama wa maisha yako
 
Ngoja nikupe mfano mimi naishi mbali na familia, inanichukua siku mbili kusafiri na kuifikia mkoa ambapo familia ipo. Lakini nimewekeza kila baada ya miezi miwili lazima nitoroke au ruhusu kwenda kuungana na familia (nafikiri unaelewa nachosema).

Mbali na hapo nimewekeza sana kwenye mazoezi Mara 2 au 3 kwa wiki lazima nifanye mazoezi ya kufa mtu, pia kazi yangu hunifanya kuwa busy mara nyingi.

Pia likizo ya mwezi ya mwezi wa sita familia hunifuata na kukaaa mwezi mzima.

Sawa kuchepuka kunaweza kutokea ukizidiwa lakini sio kuendekeza na kuishi kama make na mume.

So punguza tamaa na ukaribu na wanawake otherwise utashindwa kulea familia zote na kusababisha migongano isiyokuwa na lazima
Nimekupata vema ndugu,lakini mwenzako nimeahaharibu hivyo,kinachonipa shida ni kwamba huyu Dada wakazini nawezaje kumuepuka?
Kwa sababu hisia zangu kwa kiasi kikubwa zinamkubali sana,najiona kabisa kwamba nampenda!!!

Na tukienda ofisini muda wote tupo pamoja nawezaje kukiepuka kikombe hiki!!?
Maana hata uwepo wake najua ndo unaiumiza familia yangu!!!
 
Muanzishe dawa kumbuka ni mzazi mwenzako . Bombo wana kitengo kizuri lakini Lutindi kuna wataalamu wengi zaidi
Ni kweli ni mzazi mwenzangu,na nampenda japo anajenga mazingira ya mimi kuipoteza familia yangu,kwa maana nyingine nyingine nisiende kuqatembelea familia yangu!!!(hapo ndo kitendawili,nawezaje kutelekeza familia yangu!!?)
 
Ni kweli ni mzazi mwenzangu,na nampenda japo anajenga mazingira ya mimi kuipoteza familia yangu,kwa maana nyingine nyingine nisiende kuqatembelea familia yangu!!!(hapo ndo kitendawili,nawezaje kutelekeza familia yangu!!?)
Kuoa mtu unaempenda ni bahati na hurahisisha sana maisha lakini mara nyingi tunaishia kuoa na kuolewa na tusiowapenda mradi maisha yaende. Yule mwalimu ndiyo mkeo.
 
sasa katika story hizi ndo halisi weka picha watu tuamini pole mkuu
 
Duuh hapo ndo naona dalili za kuuawa kabisa,kwa dhana hiyo hiyo ya tukose wote!!!
Sasa nyie si mnajifanya wajuzi wa mambo ee unakaa na mtu 6 uears anakuja kukuacha anaoa mwingine kwanini nisikuroge labda eee
 
Daaaah....wanaume mna majanga na viboroo ndinda vyenu!

Anyway kuhusu ushauri mbembeleze huyu knife cutter sasa hivi kumzuga atulize munkari!

Omba transfer ( kama kuna uwezekano) kimyakimya then mkimbie , kata mawasiliano kabisa hiyo ndo pona yako! Huyo hatanii

Unatembea na kifo na unaishi na Taliban huyo!

Bottom line: pole sana mkuu
 
wanaJF wengi ni Rahisi kushikwa Akili, Tazameni Picha Vizuri!
 
Back
Top Bottom