ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
- #201
Mkuu tayari alishajifungua,tuna mtoto ana mwaka mmoja na miezi kadhaa!!Kumbuka ana mimba. Kujikata mshipa huo mkubwa maana yake damu itatoka kwa wingi na baadae atakuwa na upungufu wa damu, ambayo ni tatizo sasa kwa hiyo mimba. Ni rahisi kupoteza fahamu na hata maisha pia.
Na kama damu ingeendelea kutoka bila kupata msaada angekufa, halafu weka akilini nani angehusishwa na kifo hicho.
Alikuwa anajiua. Huyo ana matatizo ya akili na hana huruma hata kwa mwili wake mwenyewe
